Thursday, February 17, 2011

POLE SANA HEMED KWA KUMPOTEZA BABA

Nimejiskia vibaya sana baada ya kupata taarifa ya msiba wa baba yako mzazi, nakumbuka ulinipa taarifa ya ugonjwa wake siku ya jana na ulichoongea ni kama vile haukuwa na matumaini yoyote kuhusiana na hali ya mzee..

I know how u feel na najua situation uliyokuwa nayo kwasasa..

Just be strong kwani MUNGU ana maana katika kila jambo.. stop crying na muombee sana kwa MUNGU kwani anahitaji sana DUA zako kwasasa, TUKO PAMOJA SANA na MUNGU akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu... yeye ametangulia lakini hiyo ni njia yetu sote!!!
INALILLAHI WAINAILLAIHI RAJIUN!!!

3 comments:

Anonymous said...

Ooooh!!!! pole sana Hemed, ndo majaribu hayo na kumuombea afike pema peponi...AMEN

Anonymous said...

Duh pole sana Hemedi kwa matatizo yalokufika ndugu yangu. Mungu ailaze pema peponi Roho ya marehemu, yeye kampenda zaidi yetu.

AMEN.

Anonymous said...

RIP.