Monday, February 7, 2011

CHOMBO KIPYA KWENYE MOVIE INDUSTRY..

Anaitwa SHILOLE, nyota mpya kabisa kwenye filamu ambayo inachipukia.. ameshaonekana kidogo kwenye Black sunday na pia kwenye wimbo wa TOP C unaoitwa ULOFA..

For more to come.. STAY TUNED!!!

19 comments:

Anonymous said...

zama hii sasa kasheshe dah Mwenyezi Mungu nyie sio wakuchezea walai huu mzigo hapo kati jamani hauelezeki

Anonymous said...

mmh ni movie tu au kuna mengine maana hawa wadada wa movie nao

Anonymous said...

zamaradi kwani hayo makalio ni yake au mchina kafanya vitu vyake? maana mh no comment, si ndo watu watakula mzigo mpaka wasaze lolz, tunamtakia kila la kheri huko anakoingia

Ald said...

SI MZIGO WA KICHINA KWELI?

Anonymous said...

jamani kweli hiyo ni asili yake???au mchina kapitia??? duh hatari

Anonymous said...

hahahhaaaaa zama bwana huyu dada anatako kubwa sana jamani duuhh kama kweli si mcina mashalah........

Anonymous said...

ivi zamaradi hawa wasanii izi picha mitanndaoni huwa wanajinadi ama vipi wenyewe wanajiita vioo vya jamii ivi kwani mtu akivaaa vazi la kitenge au vazi la heshima akipiga picha inaungua ama ni vipi mi hata sielewi jamani duh.............. wanawake tunajidhalilisha wenyewe, ebu siku zinginine uongelee kioo cha jamii atapaswa awe vipi kwenye vipindi vyako kwa kweli wanatia kinyaaa puuuuu,

Anonymous said...

Ngozi nyeusi Bana nyoko kweli! nyie mmeona mzigo tu ila vitu vingine aaa! kwel hihi ni tafathili sahihi kuwa ngozi nyeusi starehe yake ni Ngono tu! poleni ingawa nadhani hii ni Pic tu na makeup!
By Augustine Wansakya
chaoooooooooo!@ zama

Anonymous said...

Huu si mchina ila all the best kwny safar yako ila sio siku 2 3 2naskia anatoka na mm kesho flan mwshowe anapotea kwny raman

Anonymous said...

Duh Zama hiyo shughuli hapo kati ni sooooo....Sidhani kama kuna mwanaume ataandika story ya movie yake halafu akawa na udhubutu wa kumnyima scene huyo raia..hicho choo hapo nyuma msala...Ila asipo kuwa fit watamchosha then after 3 months kwisha khabari yake...Mimi nachomshauri isijipendekeze sana kwa producers wala directors maana unaweza ukaona unakula promo bila sababu then end of the day unatakiwa na producer/Director wakahakiki kama kweli hapo nyuma ni kitu cha kichina au Real ile ya laaana...Ila kwa esperiance nilio nayo dhidi ya hawa wadudu/Mabinti hicho siyo kitu cha kichina coz she is proportional...kalio zote zipo sawa na kiuno kinahimili huo mzigo hapo nyuma,na hayo yote kupitia kuichabo hiyo picture hapo kati,the way alivyo simama she is comfortable....

Ila she has to take care..Ngoma is jus around the corner espeally to the people of movie Industry.....Ukimwi haukubalikkiiiii!

By Switch

Anonymous said...

Ujinga mtupu... watu wanatakiwa wasifiwe na waigwe kwa kuwa na akili na kwa wema wao NA SIYO kwa kuwa na matako makubwa...

Anonymous said...

Bahati yake haishi Mombasa la sivyo wangelimchakaza kwa kum****

Anonymous said...

Nakubaliana na mdau wa feb 9, 2011 12:17 PM. Ndiyo maana Waafrika hatuendelei. Wenzetu wanajivunia kuwa na "ubongo" mkubwa [akili] sisi bado tunajivunia kuwa na matako "oversize". Tuamke.

Anonymous said...

Hivi siku hizi hapa TZ kwa nini wasanii wanaogopa kuvaa mavazi ya heshima??? Au wanaona kuwa huo ni ushamba? Je hawajui kuwa bara letu Afrika lina watu wengi zaidi wenye VVU kukiko mabara yote yakijumlishwa pamoja combined? Eeh Mola wetu tuepushe na umaskini wa akili. Amin.

Anonymous said...

hivi Zama ktk kipindi chako umeshawahi kuwashauri wasanii haswa wale wa kile kujisitiri kuliko kijianika, kule bollywood movie industry yao ilikuwa kwa kuwa movie nyingi zililenga maisha halisi ya mhindi kuanzia mavazi, chakula cast zao na kila kitu na ndio maana waliendelea sana,majina ya movie zote zilikwa katika lugha yao nini hapa eti wanadai ukiweka kizungu ndio inauzika, tulipenda paka tukajifunza kihindi na nyimbo zote tiliimba, sasa hapa tz sijui nitataka kuiga nini kwenye hizi movie zilizojaa uzungu.

Anonymous said...

Namsikitikia sana huu Shilole ikiwa anadhani ati ni sifa kuvaa kijichupi na kuonyesha matako yake makubwa hadharani. Kama alivyosema mdau mmoja hapa juu, umaskini wa akili ni kitu cha kukiepuka. Huyu ni maskini wa akili na maadili. Pole sana dada 'big ass'.

Anonymous said...

Wanawake siku zote tunadai kuwa tunadhalilishwa na jamii. Lakini mbona huyu dada na wengi wengine wanajidhalilisha kijinsia kwa kujionyesha nusu utupu/uchi? Wanawake ni watu na si vyombo/toys tu za ngono!

Anonymous said...

ki ukweli tumecheki video ya Top C,ni tofauti kabisa na ulivyo hapa.kiukweli itakuwa mchina au mambo ya photo editing and adjusting au mambo ya ADOBE PHOTOSHOP

Naomi said...

Zama,mie ni mmoja wafans wako mzuri tu!naipenda sana blog yako na vipindi vyako vya tv,sijawahi ku comment lakini leo naomba niseme huyo dada anajidhalilisha ni sawa nakusimama kona bar na kujiuza hapo anauzwa mwili wake.