Monday, November 7, 2011

GUESS WHO...!

hako katoto unakokaona hapo juu ni mmoja kati ya mastar wakubwa sana wa filamu kwa sasa.. hapo akiwa na mama yake.. hebu hisi huyo ni nani!??? halafu nipe jibu..hapa ni baba yake mzazi na mama yake enzi hizo.. hii ni kukupa clue tu ili upate urahisi wa kutambua.. kwa kuwaangalia unahisi wamefanana na msanii gani wa filamu kwa sasa!??

88 comments:

Anonymous said...

Ni Hemed Suleiman[full stop]

Anonymous said...

Hemedi

khadija said...

huyo ni hemedi.

khadija said...

huyo ni hemed

enzi said...

hemedi suleiman aka alejandro .

Anonymous said...

Hemedi

Anonymous said...

Zama huyo mtoto ni Hemed aka PHD na wazazi wake sura hata haijabadilika sana.

kijah said...

Mmh hako katoto ni Hemed huyo zama!!!

lucky mchatta said...

Mimi ninahisi ni Hemed Suleimani

Anonymous said...

hemed..... grace

veronica... said...

Ni Hemed Suleiman..

Anonymous said...

hemed

Anonymous said...

hemed

Anonymous said...

hemed

Anonymous said...

zamaradi huyo ni Hemed
sauda frm Znz

deusjackline said...

huyo mtoto ni hemed suleiman kafanana sana na babake.

deusjackline said...

huyo mtoto ni hemed suleiman kafanana sana na babake.

Anonymous said...

Hemed Suleiman

sasha said...

Ni jembe hemedi

Betty said...

HUYO NI HEMED

Anonymous said...

huyo ni hemed alivyokuwa mdogo

Anonymous said...

Hemed

Anonymous said...

huyo ni Hemed na wazazi wake sefu tawakal na rehema masturungi

Anonymous said...

hemed huyo jamani

Anonymous said...

Hehehehehe! Hemedy!! aka PHD! lolz sura yake ya utoto haijapotea sana, and amefanana sana na baba ake! mama kwa mbali i'd say complexion

meena said...

zamaradi huyo ni HEMEDI...I HOPE SJAKOSEA..hakuna hata tofauti kubwa he still looks ivyo ivyo..

Anonymous said...

habari yako sis Zama...huyo ni msanii HEMED PHD,kama anavyojiita.

mama g kimara said...

zama huyo ni hemedi suleimani, sura yake haijachange sana.

Anonymous said...

Huyo atakuwa ni Hemedi

Anonymous said...

ZAMARADI MAMA HUYO NI HEMED

Gudila said...

Hi dada Zamaradi, ninavyomuona hyo ni HEMED MSANII WA FILAMU NA PIA NI MWANAMUZIKI, HAO NI WAZAZI WAKE.

Gudila said...

hi dada Zama, hyo ni HEMED na hao ni wazazi wake, mcheza movie na mwanamuziki pia

Anonymous said...

Hemed

Anonymous said...

Rose ndauka

Anonymous said...

huyo ni hemedi

Anonymous said...

HEMEDI SULEIMAN

Ald said...

hemed

Anonymous said...

hemed

Anonymous said...

huyu atakuwa hemed with no dought

Anonymous said...

mmhh....kama Hemed vile

Anonymous said...

Hemedi suleiman

Tinah said...

mimi nahisi huyu kama Hemedi

Anonymous said...

Huyo ni tozi Hemedy bababaaaaaaaa Mashauzi

yuster said...

hemed.

Anonymous said...

huyo ni hemedi masnii wa filamu na muimbaji wa bongo flavior!
michael amos hapa

Anonymous said...

huyo ni hemed

Anonymous said...

hemedy aka sharo baro
mama p wa Norway

Anonymous said...

yusuph Mlela
esther

kimami said...

huyo ni hemedi best wake yousouph mlela...

Anonymous said...

huyo ni Hemed Suleiman aka Phd, flexman87 hpa

Anonymous said...

Dah yn picha ya kwanza wala ajabadilika sna yn nilivyomcheki tu nimemjua uyo ni HEMED mcheza filam du kumbe ana asili ya nywele tokea utotoni

Anonymous said...

hiyo sura ya huyo mtot juu ni hemedi.sura yake haijabadilika kabisa

Anonymous said...

yaani zama huyo ni Hemed a.k.a chapa ilale!

Anonymous said...

yusuph mlela huyo.....

lily said...

huyo ni Hemed

Anonymous said...

Huyu ni Hemedi yani sura inajionesha kabisa, sidhani kama niko wrong

imumdoe said...

Hemed Suleiman...

by taa..

Anonymous said...

Wamefanana na Hemed.

Anonymous said...

hi think is hemed...

Harrieth Abdi said...

Mambo Zama...huyo ni Hemed Suleiman wa bongo movies hapa Tz.

Anneth said...

ni hemed

Anonymous said...

Hemedi bishololo

Anonymous said...

jamani co hemedi

Anonymous said...

nadhani huyo ni hemedi

deborah said...

Ni Hemed huyo jamani sura yake haibadiliki

Anonymous said...

huyo ni Hemedi.

zey said...

Hemedi

Anonymous said...

huyo ni Hemed

Anonymous said...

huyo ni Hemed

Anonymous said...

Atakuwa Hemedi huyo anafanana na baba yake.

Anonymous said...

HEMEDI

Anonymous said...

Huyu baba mtu kafanana na Hemedi PHD sana

Anonymous said...

Huyu ni Hemedi

Anonymous said...

huyo ni msanii HEMEDY, kafanana sana na baba yake.

Anonymous said...

huyo atakua hemed

Anonymous said...

huyu ni hemedi

Anonymous said...

Huyu ni Hemedi

Anonymous said...

Huyu ni Hemedi

Anonymous said...

ni Hemed

Anonymous said...

Huyo ni Hemed

Anonymous said...

Nahisi ni mwana wa Tanga kule Hemed sulleiman kama sikosei Zamarad.

jaz said...

Hemedi

Eve said...

Hemedi...w

Ngeze......(Nesha) said...

hUYO NI HEMEDY SULEIMAN NO DOUBT!

Anonymous said...

hemed

Anonymous said...

ICH DENKE, DAS HEMED IST.

Anonymous said...

huyo ni hemedy suleyman

Anonymous said...

Enzi hizo baba yake Hemedi alikuwa handsome kuliko Hemedi alivyo sasa. Pia mzee huyo alikuwa na smile nzuri sana (hata mama pia) kuliko Hemedi. Bahati mbaya,Hemedi hakubahatika hata kidogo kurithi tabasamu za wazazi wake. Observer.