Monday, November 7, 2011

HONGERA SANA VENTURE kwa kutuletea BABY GIRL...

hhatimae ndoa imejibu, hapo juu a new baby girl akiwa na auntie.. kako soo chwit jamani.. na kanaonekana kajanja.. lol
nhapo juu ni new parents berna na venture.. hongereni sana sana,

13 comments:

Anonymous said...

JAMANI HUYO MTOTO BADO MDOGO MMESHAANZA KUMUONYESHA DOLA? AKIKUA SI ATAKUWA AFTER MONEY?

Anonymous said...

mnampa mtoto mafua tu na hizo hela kwani si mngempa mama yake azishike hadi mumuweke hapo? mtoto bado mdogo sana huyo na hela zina harufu kali kwa mtoto,

Anonymous said...

mnampa mtoto mafua tu na hizo hela kwani si mngempa mama yake azishike hadi mumuweke hapo? mtoto bado mdogo sana huyo na hela zina harufu kali kwa mtoto,

Anonymous said...

Mmmh mbona sielewi ndoa ni juzi juzi tu, mara imejibu?!! inamaanisha wakati ndoa inafungwa tayari bi shost alishashiba????!

Anonymous said...

na wewe lini????mana upo njiani

Anonymous said...

Mambo Zama, huyo atakuwa HEMED.

From Veronica John.

Anonymous said...

wameowana juzi tu mara mtoto?? am confused, alikuwa teyari kambebesha mimba , wakahalalisha mi kwishajua sasa bana

Anonymous said...

kwani huzijui ndoa za siku hizi hahahahaha mnajazana kwanza then ndo ndoa et wanapima huko kupma mmekuhalalisha nyie binadamu hahahahah...huo ni ushamba sasa mnamuonyesha nani hizo pesa mko kama hamjasoma pesa zina harufu kwa mtoto ni hatari kwa anza yake hata mwili bado haupo strong kupigana na maradhi acheni ushamba wa kifala nyie ni watu wazima

Anonymous said...

ongra yao jmn so cute bby gal!

Anonymous said...

Kweli washamba, wameshika hizo dollar 500 ili tujue kuwa wao matajiri sana au? And why dollar not Tsh?? lol.

Anonymous said...

Afu ukute hao ni ndugu wa mwanamke wanaleta mbembwe ukweni; inahuuu

Anonymous said...

what a show off? mtoto zake ni midoli jamani. wa beckam si atalalia godoro la dollar? FOOLS!!

Anonymous said...

labda wanamaanisha hiyo ndio thamani ya huyo mtoto. shame on them.