Friday, August 19, 2011

NI MZEE GANI ANAEKUVUTIA KWENYE FILAMU kati ya MZEE CHILO, MZEE KAMBI na MZEE MAGALI!!??? NANI MKALI!!!????

HASHIM KAMBI a.k.a MZEE KAMBI!!!
CHARLES MAGALI a.k.a MZEE MAGALI!!!
AHMED ULOTU a.k.a MZEE CHILO
Kati ya hao wote hapo juu kwa upande wako nani anakuvutia zaidi kiuigizaji!!??? na kitu gani kinakuvutia kwake katika uigizaji wake!!??
Ama kwa kifupi NANI MKALI!!?????

80 comments:

Anonymous said...

kusema kweli mzee magari ananivutia kila ninapoangalia movie zake anajua kucheza na uhusika halisi na anaopewa anajua kucheza characters tofauti mchawi, jangiri,mkali,mpole,tajiri yaani he is good for me real like him my dady.. keep it up si kama hao wengine hawawezi la ni maoni 2

Anonymous said...

mzee magali ni noma ananivutia sana huwa anavaa uhusika sio mchezo

baby candy said...

mzee CHILO yuko zaidi yao wote anajua kuuvaa uhusika

Anonymous said...

kwa matazamo wangu hawa wazee wote wako juu nawazimika kishenzi . yaaani wanavaa uhalisi wa kile wacho ecti.

Anonymous said...

Mzee Chilo

Anonymous said...

charles magali anaweza sana

Anonymous said...

chalz magali is the best

Anonymous said...

Nawakubali wazee wote hawa. Mzee Chilo ana upeo wa kuigiza parts nyingi zaidi.

Anonymous said...

MAGARI ni nomaaa!!!!! hasa aki-act ukatili.

Anonymous said...

first,lazima niadmit wote wanajitahidi sana kwenye kucheza filamu zao, lakini so far kwa movies nilizoona mm naona by some distance mzee magali katangulia,anajitambua kwa kweli,

Ungujaukuu said...

mie naona wana taste tofauti,chillo na kambi kwenye scene za familia esp wanapoigiza kitajili wanafit sana,magali mkali lkn ndo style zile zile za kufoka mwanzo mwisho kama kina ray,claud na wendawazimu wengine

Anonymous said...

Hawa wazee wote watatu ni ma-actors wazuri kabisa; si kama hawa vijana wa sasa ambao hawawezi kitu bali ni wauza sura tu kama vile kanumba, wema na irene.

Anonymous said...

Mimi nawakubali wote watatu.

Malick Abdulrahman Sure said...

Mzee Kambi yupo juu zaidi ya wote. japo anapendeza sna km baba.

Anonymous said...

magali yupo juu!

kivespar said...

MAGALIIIIIIIIIIIIIIIII

Anonymous said...

I don't like to comment but this one I'm going to and my vote goes to mzee Magali he is hilarious yaani nacheka mpaka basi na accent yake mi mbavu sina he is a very good actor

Anonymous said...

mzee chilo yuko juu..

Anonymous said...

ukweli mzee chilo ananikosha.

Anonymous said...

wote wanajitahidi ila mzee chilo zaidi.

Anonymous said...

Ahmed Ulotu a.k.a. mzee Chilo ndo anatishaaaa........ni mkareeee

Anonymous said...

MAGALI ANAKIMBIZA MBAYA.

Anonymous said...

Mimi nawafagilia wote watatu. Mzee Kambi, Mzee Magali na Mzee Chilo wote wanawavaa vizuri wahusika wanaowaigiza.

Anonymous said...

Mzee Chilo..

Anonymous said...

Mzee Chilo anaitwa Ulotu au Olotu? Naona umekosea spelling ya jina lake la ukoo.

Anonymous said...

Wote hawa babkubwa.

Anonymous said...

Namkubali zaidi Mzee Kambi

Gise wa Mkoa said...

1st - MZEE CHILO

2nd - MZEE KAMBI

3rd - MZEE MAGALI

husna dom said...

Mie naona mzee magali anavutia sana kwenye filamu akicheza tajiri anaweza kwenye ukali yupo kwenye umasikini yupo yaani filamu zake zote nilizoziona ni nzuri sana magaliiiiiiiiiii yuko juuuuuuuuuu

Anonymous said...

hashim kambi nampenda sana jamani

Anonymous said...

Magali ni noma!....

Anonymous said...

Mzee Magari ana jazba every-time, mzee chilo haropoki yuko neutral na mzee kambi wote wana personality, mzee magari hana personality anajazba mno km ray na kanumba.

Anonymous said...

Kuna tangazo moja la EATV la Bongo Movie mzee Magali anaongea "Acha maneno yako wewe", Magali, ni mkali.

Anonymous said...

Kambu zaidiii

Anonymous said...

Mzee chilo

Anonymous said...

KAMBI

Anonymous said...

Mzee
chilo jamani lol

Anonymous said...

Namba moja Nampenda Ahmed Olotu yani mzee Chillo, namba mbili Hashim Kambi namba tatu Baba Bishanga na namba nne Jengua

Anonymous said...

bwana bwana Chilo ndio jibu ... Zama eboo! nitakuchapa husikii

Anonymous said...

kambi anatisha

Anonymous said...

mzee Chilo kiboko yao

Anonymous said...

chilo yuko juu zaidi ya wazee wote

Anonymous said...

hapana bwana magari anafaa kuwa mzee taperi au mwenye roho mbaya ua jizee la busara yani jasusi mchawi, chilo ana personality anafaa kuwa mzee tajiri, au waziri, au mtu wa dini hana jazba kuongea, anaongea km really LIVE

Anonymous said...

chilo siyo mwingine

Anonymous said...

mweeeeeeeee chilo mweeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

jumba la dhahabu limembeba mzee Chilo lakini yuko juu hata km hamtaki lakini kimbiza mbaya

Anonymous said...

mzee Olutu
Ahmed Chillo

Anonymous said...

Chillo baby

Anonymous said...

CHILOW

Anonymous said...

Mtihani mkubwa huu...mimi nawakubali wote watatu.

Anonymous said...

mzee chilo mkali namba one, namba mbili Mashaka sijui kwanini hamkumpambanisha, mashaka haja act movie nyingi lakini anakitu fulani....for real sio maigizo

Anonymous said...

zama tunataka na wewe useme wewe km wewe nani unamuona zaidi, gea, dina na husna kila mtu apige kura live tuwasikie. ila mimi mzee chiro naona ni zaid

Anonymous said...

cchilo jamani

Anonymous said...

mzee chilo

Anonymous said...

mzee chilo kiboko ya wote

Anonymous said...

mzee chilo zaidi yuko juu wengine wanajikongoja

Anonymous said...

nampenda ahmed olotu - mzee chillo

Anonymous said...

chilo

Anonymous said...

chiro zaidi

Anonymous said...

mzee chiro

Anonymous said...

chiro

Anonymous said...

chiro zaidi ya wote, tishio

Anonymous said...

mzee chilo

Anonymous said...

mzee wetu mzee chiro

Anonymous said...

mzee chiro ana swaga za aina yake atishiwi nyau

Anonymous said...

nampenda chillo anastahili kwakweli zama hana jazba ana act kitu km kweli

Anonymous said...

mh CHILO NI NOMA

Anonymous said...

bab kubwa chilo

Anonymous said...

we bwana we!!! chilo kila idara anaweza upole na ukatili pia,baba wa kisasa au mzee wa poli anafiti

Anonymous said...

nampenda mzee chilo mweeeeeeeeeeeeehhhhhhhhh

Anonymous said...

kwakweli msiangalie drama angalieni uhalisia, sio ku kurupuka mtu anafura km chatu ndio anajua kuvaa uhusika, soft speaking ni mzee wetu si mwingine CHILLO MEEEEEEEEEEEN!

Anonymous said...

acheni kelele ni mzee chilo number one ata BASATA wanajua ata movie Industry nzima inamkubali

Anonymous said...

zama piga kura yako na sisi tunataka kujua nani unamkubali, mimi mzee Ahmed Olotu a.k.a mzee Chilo

Anonymous said...

CHILO

Anonymous said...

MIMI NAWAKUBALI WOTE LAKINI CHILO NAMBA ONE BWANA NAMPENDA MNO BASI TU KWAVILE KASHAZEEKA NA MIMI KM MWANAE

Anonymous said...

Mzee Chiro anatisha

Anonymous said...

kwakeli nimesoma comment za wote lakini Chilo anakimbiza

Anonymous said...

mzee chilo anafaa kuwa kinara hana mpinzani

Anonymous said...

mzee kambi

Anonymous said...

Binafsi navutiwa sana na mzee Kambi.. maana hakuna movie aliyowahi kucheza ikachemsha ...zote ni kali saaana