Tuesday, August 9, 2011

RAMADHAN KAREEM...

Nilikuwa kimya lakini tuko pamoja, nawatakia RAMADHAN NJEMA wapenzi woote wa blog hii.. Tuko pamoja..
RAMADHAN KARIM

11 comments:

Hawa said...

Tunashukuru kama upo poa Zama.Maana nilimsikia Dinah kwenye leotena kwamba unaumwa. Basi poa. Umependeza na hzo dira zako my dia! By mama wawili!!

Anonymous said...

Nami nachukua fursa hii kuwatakia wadau wote, waliofunga na wasiofunga, Ramadhani ya utulivu na amani.

Anonymous said...

Ahsante. Nakutakia wewe na jamaa wako wote Ramadhani njema.

Anonymous said...

Nichukue nafasi hii kuwakumbusha waliofunga kuwa 1. Mwombeni Mwenyezi Mungu msamaha kwa lengo la kotorudia makosa yetu. 2. Tuzidishe kuwasaidia wale ambao uwezo wao ni mdogo zaidi. 3. Tuzidishe upendo hasa kwa majirani zetu wote na wafanyakazi wenzetu. 4. Tuseme ukweli daima. 5. Tusitukane. 6. Tusisengenye. 7 Tuwasamehe waliotukosea. 8. Tupigane vita dhidi ya matamanio yetu ya kimwili yaliyokatazwa. 9. Tuache hasira za ovyo. 10. Tuwe tayari kuwasaidia wasafiri tusiowajua. Tukiweza kufanya hivyo basi tutakuwa tumefanikisha zaidi swaumu zetu na Mwenyezi Mungu akipenda anaweza kukupandisha daraja kiroho na kukupa ufanisi zaid katika maisha yako ya dunia na dini. Nawatakia mfungo mwema.

Anonymous said...

Hiv Zama unajijua kuwa wewe ni mzuri sana. Huyo uliyenae bado hajatangaza nia mpaka leo, ngoja watu wamzidi kete alafu ajilaumu. Nice look mama! Swaumu njema.

Kitu kimoja Zama..jitahid uwe una-update basi blog yako...naona imepita kama two weeks ulikuwa kimyaaaaaaa!!!!

James said...

MashaAllah Zama umependeza sana na vazi hilo nawe pia tunakutakia Ramadhani njema,
Wako
James

Anonymous said...

Ramadhani njema kwa wadau wote. Lakini mwezi huu ukisha yaani siku ya Idi si "kulipiza kisasi" na watu kunywa pombe mpaka wakajikojolea. Hili kila Idi na mwisho wa siku 40 za Lenti/karesmo tunaliona kila mwaka. Tujirekebishe.

Anonymous said...

Umependeza nimelipenda sana hilo Dira lako,mwanamke kujistiri hasa kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Anonymous said...

ningefurahi kama ungekuwa my wife

Anonymous said...

Mtoto unaita......MASHAHLAAAAH JAMANI.. Yaani macho yako Zamaaa weeeeeeh!!!!! Sijui kitandani itakuwa mapozi yakeee!!!!

scanta said...

uwe unavaa hivyo kila siku kama kweli ni muislam safi