Friday, August 19, 2011

Msanii SHAMSA FORD anawatakia IJUMAA KAREEM!!!

Msanii wa Filamu Shamsa Ford anawatakia wasomaji woote wa blog hii ijumaa karim..
Ameshafanya filamu nyingi kama Saturday Morning, End of the day, Zawadi ya Birthday na nyinginezo nyingi sana!!!!

7 comments:

Anonymous said...

asante na ww pia.lol ndoo umevaa stara hivyo??

Anonymous said...

Is she married??? Hiv Zama mbona kipindi hiki wasanii wa kike karibu wote wanavaa hijab?? What is so special?? Au ni moja ya usanii pia??? EBU ZAMA DADA YANGU NIPE JIBU...HATA KUPITIA KIPINDI CHAKO CHA "MOVIE LEO" NDANI YA "LEO TENA"

Ni mim Shabiki wako mkubwa sana,
Wa Mjimwema, Songea.

Anonymous said...

Na yeye pia ijumaa na wikendi njema.

Anonymous said...

huyu dada alikua mzuri zaid alivyokua na weusi wake mzuri sana hivi wasanii wa bongo siku hz ni lazma mtu uwe mweupe ndo unafikiri unakua mzuri?? inaboa sasa wasanii wote especially wa kike naona wote wana rangi moja sasa. zama sio kama nasema vibaya ila nifikishie ujumbe wangu hii inakera sasa.

Anonymous said...

Swali la udaku, kwa nini kapewa jina la Ford? Ninavyojua mimi Ford ni aina ya gari na pia Kenya kuna vyama viwili vya siasa vinavoitwa Ford, yaani Ford-Kenya na Ford-Asili.

Anonymous said...

aaa;wale waaaaleeeeee

Anonymous said...

huyu dam anatombwa na jamaa mmoja hapa kitaaa hana mpya