Thursday, June 9, 2011

SINA NINACHOKIJUTIA katika NILIYOYAFANYA BIG BROTHER - BHOKE!!!

Katika interview aliyofanya na JAHAZI siku hii ya LEO baada ya kutoka kwenye jumba la Big Brother, nilipata nafasi ya kumuuliza Bhoke kama kuna CHOCHOTE ambacho anajutia katika yale ambayo ameyafanya katika jumba lile la Big Brother..

Lakini Bhoke alisema kwamba hakuna na HAJUTII CHOCHOTE katika yote ambayo ameyafanya "Sijutii chochote, i really enjoyed being in the house na yote niliyoyafanya niliyafanya kama mimi so hakuna chochote ambacho naweza nikajutia..."

Na nilishawishika sana kumuuliza swali hilo kutokana na kitu ambacho kilitokea kwenye jumba lile ambapo kuna CLIP inayoonesha akifanya matendo ya kimapenzi na mshiriki wa Uganda (Ernest), hivyo kusambaa kwa clip ile kukanifanya nitamani kujua yeye kama yeye anaichukuliaje hali ile kwasasa.. Is it bothering her!? ama ni part of life na maisha inabidi yaendelee, lakini mwisho wa siku jibu lake ndio hilo kwamba kujuta hakuna nafasi kwenye maisha yake kwani chochote ambacho kimetokea, kimetokea na maisha inabidi yaendelee!!!

Kipande kilicholeta utata...

Haya kwa wale wadau mliotaka kujua jibu ndio hilo hapo!!!!! No regrets...

64 comments:

Anonymous said...

omg!yani huyu dada ni malaya sijawahi ona,hivi siku hizi kuna wanawake cheap kiasi hiki?mtu mnajuana within a week mnahave sex?tena bila shaka hakutumia dawa ya penzi,ametuahibisha sana TZ mjinga sana.shame on her tena kanajisemea im not regret,tuuuuuuuuuu mbaka

Anonymous said...

moyo wa mwanadamu ni msitu zama i wish tungejua deep inside her heart juu am sure kaaibu kapo na hata kujisikia vibaya km binadamu wa kike la hasha basi ye ni type ya watu wanaoweza kulalwa hata bar mana kwa zile camera za kutuonyesha Afrika nzima ni km kufanya PONO bila malipo clip ipo kila mahali afu sijutii ni hali tu ya kutaka kupapambana na ukweli ila giza likiingia akapanda kitandani na kutazamaa paa b4 sleeping ANAJUTA na ANATAMANI KUIFUTA

Anonymous said...

mwandishi mwambie huyo mzinzi kama yeye hajutii na anaona sawa mwambie sisi wanawake wa ki tz tunajuta alichaguliwa vipi sura hana, mapele usoni na nywele za maiti halafu anauza uchi hadharani, waziri mkuu alionya vikundi vinavyocheza nusu uchi kunengua jukwaani sembuse kufanya alio fanya huyu mzinzi labda ana ugonjwa wa akili au ameathirika ataka kusambaza bila kujali

Anonymous said...

shame shame shame she Bhoke could not hold her pride/ dignity!!!

James said...

Duuh noma. hamna cha kujutia kitanda bure blanket bure kula bure kuoga bure kaenda bure karudi bure na posho kapewa na hiyo ni starehe tu haija mkost chochote kamaliza kaenda kuoga msosi una msubili mezani

Anonymous said...

huyu dem alisemma "thing that i can not do for money is sex" sasa hii sio sex for money kwakuwa upo kwenye BBA and ur paid for that...Halafu cha kushangaza kasema leoo kwenye JAHAZI cloudsfm kuwa hakuna anachojutia kwa yale aliyoyafanya huo ni uongo how dare can u fuck in front of a camera u have no PRIDE/ DIGNITY Africa na dunia nzima inakuangalia unadhani hiyo ni sifa???huyu ni role model wa dunia gani??? ur just a new version of a bitch!! tena a very cheap one!! Jamani pple out there do us a favor msimpe kazi kabisaa maana sio mfano mzuri kwa watoto wetu na jamii nzima please!!

Anonymous said...

Kadhalilisha kina dada wote wa Kitanzania,wanaonekana wote kama maharage ya Mbeya maji mara moja.Bhoke shame on you na familia yako, halafu hao Multi choice wanasema eti amewakilisha vizuri amewakilisha vizuri kwa kuchakachuliwa?. mdada una uso wa kauzu kusema kwamba hujutii kwa ulilolifanya. msonyoooooooo.

Anonymous said...

Jamani Bhoke you have no morals at all hata kama hujuti just imagine who does that having sex in-front of everybody there is no difference darling you had sex in-front of your parents shame on you YOU HAVE NO MORALS AT ALL..YOU NEED TO APOLOGIES TO ALL TANZANIANS AND AFRICAN WOMEN IN GENERAL..!!

Rik Kilasi said...

Huyu dada sidhani kama anajua hata anacho ongea mimi sijaelewa kabisa kwanza anasema kajiwakilisha hajaiwakilisha Tanzania (lkn ni Mtanzania) hii ina maana gani? Maelezo aliyotoa hata hayaleti maana kwa Watanzania wanao ona aibu kuwa na mwakilishi bomu kama yeye huko BBA.Mimi nadhani mmsamehe bure hajui alitendalo,hakujua alienda kufanya nini na hicho alichofanya BBA hakijutii maana ndio kipaji chake ambacho sasa mnatakiwa kukijua rasmi.PERIOD!!

Anonymous said...

pumbavu kabisa.yani hujutii??????????kwendaa kwanza hukujua kama wataionesha ,huenda hata tunge kuelewa kidgo endapo ungeonesha kujutia,kumbe ww kahaba eeh,mbaya zaidi ukahaba wako ni ule wa jerojero au soda tuu. kwanza mbayaa,domo kuuuubwa.nimekuchukia kwa sababu ya hili.

latifa said...

mpumbavu huyo anajikosha tu ili watu asione kama alifanya kwa bahati mbaya, hana aibu atakuja kujuta baadae kwa alichokifanya pale mtoto wake atakapokuwa na kuikuta hiyo story ya mamake duniani, je alilifikiria hilo? Madonna alivua nguo akifanya show anaijutia mpk sasa sbb watoto wake wanaiona je yeye kufanya mapenzi hadharani hata kuku siku hizi hatuwaona wanfungiwa ndani, imeniuma sana kwa mwanamke kufamnya ushenzi na kujifanya haregret hana lolote NA AIBU IMPATE NA ATAKUJA ONA KAMA ATAWEZA KUMFUGA MWANAE AMA KUMPATIA MAADILI YANAYOSTAHILI MTOTO AKAMUELEWA KWA KITENDO CHAKE CHA KIKAHABA

kekue said...

Eti hajutii chochote...kisiire eki.........

latifa said...

HUYO Ni MALAYA tena wa kufa yani mie natamani nijaze gazeti, one night stand? tena oo niliyoyafanta bba yamebaki kule? na kweli mdada hana mvuto, midomo mibaya, mipele kama kamwagiwa maharage, aliona atakosa wa kumpenda bora ahonge ngono, lol tena kwa mganda? hawajui huyo.aibu anayo basi anajishebedua, tena nanyie mnampa promo ama mlikuwa mnamchimba? zama nilifurahi swali lako jana nilitamani niwapigie simu nimpake pale pale aliichefua jini yangu, na popote nitakapo muona nitamdharau sana kajiabisha na kamtendea vibaya mtoto wake ambaye hatoweza kucompete na yeyote ktk public coz ya mama yake

Anonymous said...

jamani!naona wachangaiaji wenzangu wamesema ya kutosha... hivi hata ana bf huyu? yani ametuaibisha hadi basi! kujamiiana ni tendo takatifu..ambalo kwa imani yangu mimi linatakiwa lifanywe na wanandoa tu..lakini ubinadamu umetufanya wengi wetu tushindwe kufuata amri hiyoNA hivyo linafanyika kwa usiri sana...(in privacy)... utakuta hata wale wanaofanya biashara hii hutega mahali kupata wateja kisha wakaenda faraghani....kuonyesha kwamba si sahihi kufanya hadharani. lakini pia lately dunia imekuwa ikishuhudia mambo mengi sana ya ajabu ikiwepo vya siri kufanywa hadharani...tunasikia mengi ya ajabu..huyu dada kaamua kuionyesha dunia Tanzania pia watu can do unspeakable...sio huko tu wapi sijui tunakosikiaga vituko hata huku kwetu ipo...akatuwekea live!!! na mwishoni anasema 'no regret' HOW NICE LESS! SHE IS SUCH A STUPID, SHAMELESS BITCH OF THE CENTURY! PUUUH! Doreen, Mikocheni

Anonymous said...

Tatizo alilewa sana siku ile ndo maana alikuwa tayari kufanya chochote na yeye ndo alikuwa anajipendekeza kwa ernest toka wanacheza mziki anamsogezea domo ernest halafu ernest anapotezea.kwanza ernest hampendi kabisa ni tamaa tuu. na bhoke anajutia sana sema anapotezea tuuu. maana ilikuwa chicha asubuhi akawa anasimuliwa kwamba she is soo sweet anashangaa na miaibu kibaoooo. looo pole mamaaa wa EATV.

Anonymous said...

she is very Cheap.shame on her
anajikosha tuu but anaregret sana kwa uchafu alofanya kutuabisha watanzania.binafsi kaniboa sana waganda hapa ofisini kwetu wanasema "Ernest eats Bhoke" kama wanakashfu.umetutukanisha All tanzanian mbwaa we malaya wa mb.....

Anonymous said...

Yanni huyo ni kahaba wa kimataifa! alikua naajitia mpolee kumbe looooh! Hao wanaochagua watu wa represent hawakumuona ile sura jamani mbona kuna wanawake wazuri sana tz???Alafu waganda huwa hawa hawatairiwi duuh yaaani huyo no mjina ni nikikutana ane popote lazima nimpe kubwa ya SLUT OR BITCH

Anonymous said...

msisahau kama huyo ni bhoke anawakilisha yale ya kabila lake linalosifika kwa mambo hayo. na Tanzania nzima wanajua kuwa kabila hilo hiyo kitu kwao ni kawaida tu, ndio maana hata yeye anasema hajutii.

okharuni said...

dahh ndio minyege au anatafuta jina kwangu poa 2

Anonymous said...

Huyu dada ni malaya alienda kutafuta soko hapa, alafu eti ni mtangazaji, mtangazaji siku zote ni kioo cha jamii sasa yeye anaifundisha nini jamii yake. nimemchukia mpaka naseme haitakaa nitokee nitazame kipindi chake.

Anonymous said...

watu mna uchungu kama mmetiwa nyinyi, kutiwa katiwa yeye nyinyi ohoo ana adabu sijui siyo mila na desturi zetu, midume miwili iliyokuwemo mule yote ilitia lakini ikaonekana mishijuaa, me naona bomba si kapenda kufanywa, kama umeangalia blue movie vile, sime wameniuzi wamejificha ficha, kama waliamua wangefanya bila ya mishuka yao

latifa said...

Anon 10:10am nikwambie kitu pale alipojifanya hajatambua sbb alilewa mbona ernst alimwambia ulionekana umeenjoy sana, na pia mtu akiliwa jamani si kunakuwa na utofauti ktk maungo yake je ina maana yeye hakuliona hilo? ile ni aibu na inamcost basi tu anajirusha akili,kiukweli ameharibu hata kama chiu ni yake na mwili pia lkn ametudhalilisha waTZ,Aibu impate na Mnet ndio waangalie watu wao na sio kukurupuka. Nimekasirika sana na matabia ya kishenzi ambyao hata shetani mwenyewe hayajui anatizama kwa mbaliiii.

Anonymous said...

huyo ni kahaba, mama huruma

Anonymous said...

Me Nashangaa kushangaa Bhoke ni kawaida yake huyo coz me namjua toka Makongo tulisoma nae kuanzia form one hadi four na hizo tabia alianza toka form one so inauma na inasikitisha na kiukweli ni mgawaji sana

Anonymous said...

kiukweli bhoke yaani wewe ni mshenzi tena umepitiliza,kwenye kipindi chako huwa unajifanya unarekebisha jamii lkn mwenyewe umeshindwa kutenda unayoyasema dada, umeshindwa na richard mtoto wa kiume aliyegandwa na yule tatiana lkn alizishinda tamaa zake ss ww ulishindwa nn jamani. umedhalilisha wanawake, kabila lako familia yako na watanzania kwa ujumla sikupendi

Anonymous said...

Zama...mariam hapa,,dis gal is Bitch...lol,,,she is so disgusting to the society jamani,,,she is so annoying and irritating jamani,,,she annoys me sana tuu...she is a WHORE..kwanza a cheap,low budget WHORe,,,,,,,,mshamba sana....so local and a Village champion.......yani i wish can her diss her more bt am out or words.....

Anonymous said...

Mungu wangu yaani hapa nilipo naona mm tena naiangalia kwa woga mtu asinikute jamani ni zile picha za kulipwa au naoata huyu wala asijidai hajuti hapo anajishaua kuuwa soo. !! mama hata kama ni njaa hiyo yako ilipitiliza.pumbavu zako weee sijui umelelewa na nani mjinga mkubwa wewe

Anonymous said...

laikini mimi nashangaa kitu kimoja kwanini hawa wanaomhoji wasimuulize kwa nini ameamua kuibisha nchi yake na watanzania kwa ujumla kwanini wanamuugopa kumuuliza hilo swali wanambembeleza kana kwamba aliyoyafanya ni mazuri sana si wangempa live ya uso bila ya kumwonea haya kama na yeye alivyoamua kuibisha nchi yake wanmzunguzunguka nini wangempa sure ajue alilolifanya sio sifa na wala sio desturi ya mtanzania

Anonymous said...

Alichokifanya sikubaliani nacho hata kidogo. Lakini napenda niende mbele kidogo:

Richard alishinda Big Brother nadhani miaka miwili au mitatu iliyopita. Tuliona Richard alifanya mengi machafu zaidi ya hili...mtakumbuka akiwa na Tatiana halafu na usiku ule na yule dada Mnigeria...Je kwa kuwa Richard ni mwanaume wengi wetu tuliona okay au?

Mwaka Jana tumeona kijana wa Morogoro Mwisho alifanya mambo kama hayo...though sikumbuki kama alikuwa under blanket....lol, swali langu je ni rahisi kwetu kuona it is okay kwa Mwanaume kuliko mwanamke?

Guys just a question.

Mdau
Denmark

Anonymous said...

alafu k ishaota sugu nn? mbona alikuwa anapelekewa dudu katulia tu, hata mguno hamna! mh!

Anonymous said...

Eti hujutii, do u really mean what u r saying?! I know deep inside urself u r regreting but u dont wanna admit. Mwanamke gani unashindwa kujizuia kwa miezi mitatu tu!!? wiki tatu tu, unalala na mtu ambae humjui tena usikute bila kondom halafu unasema huku home una boyfriend ....@#$%^&**&^%$#
u r not a role model and u never will be!! idiot.... role model gani anafanya mambo ya kijinga mbele za dunia nzima? kukaa south wiki 3 unajiona ushakuwa mzungu hadi umesahau maadili ya kwenu?! pumbavu kabisaaa..........hayo ndo matatizo ya wabongo kupenda kuiga hadi visivyoigwa! Mnaona wazungu wanafanya hayo hadharani na nyie mnaiga wakati ni kinyume kabisa na maadili yetu... kiukweli umetuaibisha sana watanzania...... hujisikii vibaya kuwa baba na mama yako wazazi, kaka zako, mashangazi, wajomba n.k. wanaona unafanywa live?? Shame on you!! U MUST APOLOGISE TO TANZANIANS!! Ipyana

Anonymous said...

Mdau Denmark, ni kweli kuwa Mwisho na Richard walifanya hivyo pia but ktk mila na desturi zetu watanzania mwanaume anaweza kuwa na wake/wanawake zaidi ya mmoja na ni common kwa mwanaume kuwa na mahusiano nje ya mahusiano rasmi aliyo nayo, kwa mwanamke kufanya hivyo unaonekana wewe ni cheap na malaya... hivyo ndivyo jamii yetu inavyoamini, whether ni sahihi au siyo sahihi. Kudhihirisha hilo, utaona kuwa ni common kwa mwanamke wa kitanzania kumsamehe mume au boyfriend wake hata akimfumania live na mwanamke mwingine but kwa mwanaume NI VIGUMU kufanya hivyo, akikufumania tu mahusiano yanaisha. Sasa yeye Bhoke anajua kabisa kuwa ana boyfriend huku nyumbani na kila kinachofanyika kule kinaoneshwa live, kwanini alifanya hivyo? Pia kimaumbile, mwanamke ana stamina ya kuvumilia bila kufanya kwa muda mrefu sana hata mwaka but mwanaume hawezi, sasa kwanini Bhoke ashindwe kuvumilia miezi 3 tu kama sio ana nyege mshindo tu na umalaya wa asili!! stupid.....I hate her!!

Anonymous said...

wangapi mnafanya uzinzi kila kukicha?au kwakuwa yeye kaonekana imekuwa nongwa,richard na mwisho hawakufanya ngono BBA?mbona hamkusema au akifanya mwanaume sawa akifanya mwanamke kosa, msihukumu msije mkahukumiwa,asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga bhoke jiwe

Anonymous said...

HUYU BHOKE ANAWEZA KUTEMBEA BA BABA YAKE MZAZI AU AMESHATEMBEA NA BABA YAKE MZAZI SIO BURE MALAYA MKUBWA

Anonymous said...

WEWE BHOKE USIJUTE UJUTE WEWE NI MALAYA TU HIVI WATANZANIA WATAKUKUBALI TENA KTK VIPINDI VYAKO HAKUNA HATA MMOJA WEWE NI WAKUTENGWA NA JIMII YOTE YA KITANZANIA

Anonymous said...

YULE MGANDA ALITAKA KUMALIZA HAJA TU KWA BHOKE HANA HAJA NAYE WALA HAMTAKI KWANI HANA MVUTO WOWOTE ULE WA KUMVUTIA MWANAUME SURA MBAYA

Anonymous said...

HAWA NI WALE WANAOFANYA MAPENZI HATA NA MBWA

Anonymous said...

huyo dada ni malaya tena aliyekubuhu hata baba yake anaweza kulala naye kwa kitendo hicho cha kulewa na kutiwa halafu hata blauzi yake hakuvua kwa kuitamani mboo ambayo inawezekana haikutailiwa alikuwa anaona tamu na ngozi yake, yaani ameiiibisha TZ, kituo chake cha kazi cha EA TV mwajiri wake amfukuze kazi kabisa akauze uchi wake mbele ametia aibu kubwa

Anonymous said...

jamani sawa aliyofanya bhoke yanaaibisha lakini nachoshangaa ni the fact kwmba alipofanya richard na mwisho hamkuwatukana kiasi hiki, ama ndo kunya anye kuku akinya bata kahara, halafu kumtukana mtu na familia na wazazi wake ni kuwakosea kwani wao ndo walomtuma akayafanye hayo, wangapi mama zenu wametulia ila nyie ni malaya mbwa? na nafikiri kusema mtoto wake atashindwa kua competent ni kukosa hoja, kila binadamu ana uwezo wa kujichagulia personality no matter what kind of a background she holds. cmtetei bhoke lakini tuwe na kiasi na tunayoongea coz nobody is perfect.

Anonymous said...

nyie wooooote mnaomponda Bhoke ninaweza nikasema mnawivu!Kwani nini hamumuengelei Ernest na yy ndio mwanaume aliyemshawishi wafanye kile kitendo!Watu wanasema sijui ana domo kubwa,sijui ana vipele usoni inawahusu nini!kwani mmeambiwa vigezo vya kuingia ndani ni uzuri!Acheni hizo yy sio m2 wa kwanza kufanya vile!Abby Alitiwa Na gaetano Na sasa ni mke wa m2 Na nimama wa mtoto.Acheni hizo.Eti umetuzalilisha wa tz!Mbona mama yake alikwenda kumpokea Airport yeye vp!Wewe latifa unajifanya una uchungu kuliko mama yake!?ACheni uswahiliiiiiiii!!!!

Anonymous said...

Hivi wewe Zamaradi kwanini unachanganya lugha? Siku hizi unaharibu kuchanganya lugha kuliko hata Wema uliyemsema. Kwanini unaongeza usista Du. Kwanini usiwe wewe badala ya kuwa artificial. Mnaharibu saana hata wazungu mnoiga presenters hawafanyi hivyo. Wengine tunaona kinyaa

mwacheni said...

Mdau denmark upo sahihi sana kwa maoni yako tatizo lililopo ni kwamba kwa mwanamke kufanya yale aliyoyafanya aibu huwa mara mbili,mfano mdogo ni kwamba kutoka na mwanaume au mwanamke zaidi ya mmoja ni umalaya si ndio but tulivyozoea mwanaume anaitwa kiwembe,playboy,while mwanamke akifanya matendo kama hayo ana majina mengi sana fuska,changu,malaya,maharage ya mbeya,so kuna tabia mtt wa kike hazimpendezi kiukweli dada yetu ametuangusha sana but all in all tumsamehe tu

Anonymous said...

Nakubaliana na Mdau wa Denmark: Laiti Bhoke angelikuwa ni mwanamume asingelitukanwa. Badala yake angelikuwa shujaa kama Gaetano Kagwa wa Uganda na Richard. Hii ndiyo mentality yetu.

Anonymous said...

Kwani watu hawawezi kumkosoa bila kumtukana Bhoke na baba yake? Hao wanaorusha matusi makali hapa ndio wanadhani eti ndio wanatetea maadili ya kitanzania kwa kutukana watu?

Anonymous said...

Navyujuwa mimi bigbrother is rated 18. Yaani ni kwa wakubwa tu, si watoto.

Anonymous said...

b
Bhoke namimi naomba

SM said...

Kwei kwei kwei, Mnet TZ mmechemsha, Lotus mcharuko na Bhoke Malaya, sijui huyu Bhoke ana kamadudu kwa K yake? Hivi kashindwa kuvumilia mpaka katoa kitu yake kwa huyu Govi Man? Hivi huyu ana boy friend kweli na anajua maana ya adabu na tamaduni za kitz? Mengi bado utamrudisha huyu MALAYA EATV? mimi kwa mawazo yangu Lotus na Bokhe hwatakiwi tena kuwa wasanii au watangazaji kwani sioni wanaloweza kuelimisha jamii, wawache waendelee kuungua na jua mjini.Malaya wakubawa hawa.

latifa said...

nimechoka na habari hizi ndo mana sijakujibu wewe ulieniingiza kuwa nina uchungu kuliko wazazi wake.

Anonymous said...

Mimi kama mtanzania sioni tatizo lolote..ila katia aibu kiuno kama GOGO.. nenda ukafundwe ujue kamchezo

Anonymous said...

OMG! HUYU BHOKE ALIKUWA NA MATATIZO TANGU ANAINGIA BBA, KAMA VILE ANA STRESS, HAKUWA NA FURAHA, YAANI FULL KUBOA! AKAISHIA KUWA SUCH A CHEAP CHICK! SHAME ON HER!

Anonymous said...

who r we to judge only God knows her true intentions, kama kuwakilishwa kwenye BBA pple paid to c dis kind of stuff nd they know kutokana na mazingira things like this must happen ! If we want to curse her curse the program itself !!

Anonymous said...

wote mnaomtetea mjue kuwa uchungu ambao watu humu wanao ni kauli zake za kijasiri alizoongea aliporudi.... binadamu wote tunafanya mistakes na kusamehewa etc, yeye ange-accept ukweli kuwa anajutia kufanya tendo lile live kitu ambacho ni kinyume na maadili ya wtanzania... hata angesema alilewa au angetoa sababu yoyote, hasira zisingekuwa kali watu wangemsamehe. BUT KINACHOWAUDHI WATU NI VILE ANAVYOSEMA KUWA HAJUTII, yaani anaona ni sawa kutiwa live? NEVEEEER, kwa maadili ya kitanzania that is an ABOMINATION!! She should apologize to Tanzanians, she has wronged us bwana.........Ip

Anonymous said...

Nyinyi mnaojitia kuwa ndio mapolisi wa maadili yetu wacheni unafiki wenu. Mtasemaje kuwa mnatetea maadili wakati mnatukana ovyo kama vichaa? Msimshutumu Bhoke watupie lawama watayarishaji wa BBA. Aidha BBA ni kwa wakubwa tu wa zaidi ya miaka 18, sasa hizo hanjam zenu zinatoaka wapi?

Anonymous said...

CLOUDS MMEISHUPALIA HII HABARI SABABU YA WIVU...AMECHEMKA SAWA BUT U DONT NEED TO POST HABARI ZINAZOMHUSU MAMA YAKE,BABA YAKE,MTOTO WAKE...ZAMARADI WEWE NI CELEB WATCH OUT.

Anonymous said...

bhoke ni malaya aliye kubuu toka tokea makongo mpaka tumaini university, sishangai yaliotokea big brother. au mlikua mnataka nyie?

Anonymous said...

wabongo mmezidi kwa ushamba wenu uhuru mmepata juuzi tu mnajifanya ninyi ndo wenyewe. ushampenga umewajaa hamnaa lolote domo kubwa tu. aloo wee binti naomba usiminye komenti yqngu pliiizi meseji senti

Anonymous said...

Majibu aliyotoa ni jeuri ya wasichana wanaotoka mkoa atokao. Washazoea kupewa vichapo

Anonymous said...

hii mliisahau, gonga hapo chini
http://www.youtube.com/watch?v=8njPMmRMOg0

Anonymous said...

Wote mnaotukana bhoke mnajidhalilisha kwa kutukana hoovyo hadharani. nyie mnatukana watu kwa kutumia kivuli cha anonymous. nyinyi pia mna ukosefu wa maadili kwa kutukana watu.

Anonymous said...

People are mad at Bhoke because she had fun and they didn't, human nature. But Ernest maan! For somebody who had been drinking, that was pretty fast, I think if you drink you can hold it for a while!

Anonymous said...

Anon wa June 17, 5:54 PM. Ni kweli. Bhoke had fun. Pia kama waivyosema walionitanguli BBA ni kwa ajili ya watu wazima tu yaani wa zaidi ya miaka 18.

Anonymous said...

Wabongo wacheni unafiki. Bhoke alikwenda kwenye reality tv for adults only. Sasa hayo matusi yanayorushwa na ninyi yana maana gani? Bhoke angekuwa mwanamume na hakika haohao wanamatusi wangelikuwa wanamsifia. Mentality zetu Waafrika ziko nyuma sana, mwanamume akiwa mapepe anitwa 'mkali', mwanamke akiji-express anaitwa malaya! What crap! Si ajabu nyinyi mliotukana ni wahuni wakubwa hasa. Mimi na wengine wengi TZ na Zambia tumempigia kura Bhoke ndiyo maana katika country votes za nchi hizo ameibuka mshindi. Bhoke wengi tunakupenda na kuku-support. All the best girl.

Anonymous said...

Watanzania tuache unafiki. Nyinyi mtasemaje ati mnatetea maadili ya Kitanzania wakati mnatukana hovyo kama wehu? Adabu pia ni sehemu ya maadili ya Kitanzania.

Anonymous said...

Watu wanasema siku ile boke aliliwa kinyume na maumbile kuna ukweli wowote wadau?