Wednesday, June 1, 2011

NIKIWA NA BAADHI YA WASHINDI KUTOKA TANGA..

Kutoka kushoto LEAH MASAMBAJI, mimi (ZAMARADI MKETEMA), ATU JAMES, FARIDA ABDALLAH pamoja na LUKEI PENTZEL.. hao ni baadhi ya waliopatikana katika mkoa wa TANGA kupitia Serengeti Fiesta Filamu ambapo ilikuwa ni mchakato wa kutafuta vipaji vipya kabisa kwenye swala zima la filamu.
Picha nyingine ya pamoja...
Tukipeana mawili matatu...

Wakazi wa DAR kaeni tayari SERENGETI FIESTA FILAMU inarudi JIJINI!!!

No comments: