Wednesday, June 1, 2011

MAMBO YA TANGA... YALIYOJIRI!!!

Nikiwa Tanga nilifanikiwa kutembelea kambi ya Wafanya Comedy na hapo walikuwa wakishoot katika hotel ya TANGA beach resort.. mimi hapo wapili kutoka kulia pamoja na wasichana ambao watakuwepo kwenye comedy hiyo..
Hapa ilikuwa Club ya Lacasa Chica.. Kucheza inaruhusiwa!!!

Hapa nikiwa na wadada kutoka MZUMBE UNIVERSITY Morogoro ambapo walikuwepo Tanga pia and we had fun together..

Picha ya Pamoja!!! Hii ilikuwa ni siku ya Miss talent Tanga ambapo nilikuwa mmoja wa majudge wa shindano hilo na baada ya hapo ikawa ni kumingle na marafiki!!!


Mmoja kati ya waliofanikiwa kupita katika mchujo wa Serengeti Fiesta Filamu Tanga.. Luklei Pentzel!!!

Hii ilikuwa siku ya Audition pale Lacasa Chica ambapo watu walijitokeza wengi mno katika usaili huo, hapo ni sharo milionea, Hemed Suleiman, Zamaradi Mketema na Rose Ndauka!!!

Hii ilikuwa ni behind the scene ya Comedy ambayo ilikuwa ikishutiwa katika hoteli ya Tanga Beach Resort.. Hapo ni MASELE CHAPOMBE akiwa na wadada.. na nilifanikiwa kuwatembelea location wakiwa wanashoot kama ambavyo unaona!!!

Mzee Majuto akiwa na Mwita Manyara!!!

Nilivyokuwa Tanga nilipata nafasi ya kuwa JUDGE kwenye Vodacom Miss Talent Tanga.. kama ambavyo unaniona hapo, na baada ya hapo ikawa ni shangwe..
Hawa ni baadhi ya washiriki wa Serengeti Fiesta Filamu..
Miss Talent Tanga!!!

No comments: