Wednesday, June 1, 2011

IRENE UWOYA - NILITAMANI SANA KUZAA KAWAIDA LAKINI ILISHINDIKANA...Hiyo ilikuwa ni exclusive interview na IRENE UWOYA baada ya kutoka kujifungua ambayo niliifanya kupitia Take one na moja kati ya vitu alivyoviongea ni kutamani kwake kuzaa kwa njia ya kawaida lakini kutokana na mtoto kuwa mkubwa ikashindikana ikabidi azae kwa operation...
Bonyeza hapo juu kwa mengi zaidi na kwa kumuona yeye na her sweet babyboy(KRISH)

10 comments:

Anonymous said...

wewm Zama mbona hiyo video yako inakwama hata haiangaliki!? rekebisha basi tufaidi alafu mbona ile ya chaz uliipotezea kabsa kulikon?

Anonymous said...

una ngoma nini mbona unababaika kuongea ulikua unanijua ww

Anonymous said...

Thank you Zama kwa kusikiliza wito wa wadau wako, tume furahi kumuona irene na mwanawe, yaani irene kapendeza utadhani hajatoka kujifungua na mtoto mzuri sana. mdau atown

Anonymous said...

irene big up Mungu askukuzie mwanao dah! mpaka raha yaani umenifanya nitamani kuwa na mtoto.hongera sana

Anonymous said...

Irene hongera mwaya ndo ukubwa huo, nimeipenda happy mom.

Anonymous said...

hongera sana kuwa mama mwema mpende mwanao acha mambo ya dunia umeyakuta yapo na utayaacha, raha ya malezi bora ni mama na baba sio kuloweya dar kila kukicha unamuacha mumeo pweke utazani hana mkejenga familia bora yenye mapenzi

Anonymous said...

mpaka raha mama na mwana. je tutafika au yatakuwa yaleyale ya kuruka ruka tulia na mumeo leeni mtoto wenu hongera sana

Anonymous said...

Kwa maelezo yako inaonyesha ulipanga na doctor ujifungue kwa operation, acha kutudanganya.kwani hata mimi nimejifungua kwa oparetion ila ni baada ya kushindikana kabisa. so nivizuri kusema ukweli.

Anonymous said...

hata mi sijaelewa alivyosema alisikia uchungu,sasa aliusikia muda gani wakati operation ilipangwa. Anyways,hongera sana mdada..

Anonymous said...

unatoa sana tigo si useme ukweli!!! kwa hiyo umekua hauna nguvu ya kupush,ni mchezo wa wadada wengi sana, tumeshawahudumia wengi, na wewe iren ni mmoja wao, so usijishaue hapa!!!