Tuesday, June 14, 2011

HEBU MUANGALIENI HUYU MTOTO JAMANI.. MNAMUELEWA!!???? LOL....


anaimba take it off mwenyewe, halafu ukimuangalia vibaya unaweza kuhisi ni kajitu kazima maana hakaeleweki ni kakubwa ama katoto.. jamani!!!

3 comments:

Anonymous said...

Zamaradi huyo anaitwa Keenan Cahil (16) kutoka pande za chicago, huwa anaimba nyimbo za watu na kuweka youtube. Wasanii wenyewe wanamkubali ukiangalia youtube utakuta "Down on Me" ya Jerimiah aliyoimba na 50cent then akaja kuimba tena na Jeremiah mwenyewe... yaani Dogo ni anakubalika sijui kwanini

Mdau Chicago

Anonymous said...

Zamaradi huyu dogo huku kwetu amejipatia umaarufu mkubwa sana kwa kuiga video kwenye youtube sikuhizi wasanii wakubwa wanamchukua kwenye show zao na video zao pia...

Anonymous said...

huko ulaya na america na asia pia kuchekesha watu ni big deal yaani ni pesa kwasababu watu wako so serious na maisha ndo maana watu kama huyu dogo wanakuwa money machines.