Thursday, June 30, 2011

PICHA ZA MWANZA ZINAANZA..

This was meet and greet Pre fiesta party at Malaika Beach resort Mwanza.. from left mdada kutoka saut, Ally rhemtullah, Zamaradi, Vida mahimbo pamoja na a friend kutoka saut Kiamba...
Ally, Vida na mimi tukiwa na Friends kutoka St. Augustine University of Tanzania Mwanza!!


14 comments:

Anonymous said...

Nasaha kwa hao marafiki zako kutoka St Augustine University, Ni vizuri wakipata burudani mradi wasisahau lllkilichowapeleka SAUT. Mama wa busara.

Anonymous said...

Kawaida ya uandishi ni kutoa majina ya watu walio kwenye picha. Wengi wetu tunakujua wewe na Ali Remtula. Je hao wengine hawataki majina yao yatolewe?

Anonymous said...

zama umefulia, umeibiwa comp nini nikuletee ingine?hope hupo powa lakini

Anonymous said...

Yaani zamaradi blog yako mbaya sana na inaboa kila siku mambo yaleyale na haipo kwenye mpangilio mzuri angalia blog ya dinah ilivyo nzuri na ilivyo active, kiukweli blog yako inaboa

Anonymous said...

blog yako ipo nyuma mno mama mpaka inatia uvivu kufunga bwana. khe! kila ukifungua picha hizohizo tu kama imekushinda bora uachane nayo tu. mbona dina yupo mbeya lakini angalau tunapata jipya kila siku bwana?

Anonymous said...

best fiesta inakuchanganya hata habari mpya hatupati vibaya hivyo zama.

Anonymous said...

yani imefikia mahali ukitaka kungua blog ya zamarad unajiuliza sijui picha ni mpya au ni zile zile agrrrrrrrr, mimi naona kwa upande wangu uachane na mambo ya blog tu mama maana huna jipya, umedoda kama wali bokoboko lol, fanya tu hayo mambo ya movie leo, na maana hata kipindi cha take one nacho umefulia vile vile, unarudia mambo sana, kama ile ya irene uwoya umeirudia weeeeeeeeeee unaboa kiukweli mh.

Anonymous said...

Wewe unayedai eti blog hii inaboa, unakuja humu kufanya nini? Kwani bwana wako amekulazimisha uje hapa? Pilipili usiyeila inakuwashia nini? Kuma unakuwa bored just get the hell out of here? Ok? Zama endeleza libeneke usiwajali wajinga wachache ambao hawana mchango wowote kwa jamii ili kejeli. Zamaradi oyeeeeeee!!!!!

Anonymous said...

Zamaradi we mzuri, natamani ungelikuwa mchumba wangu.

Anonymous said...

poa tumekuelewa ila ufanye hima mpendwa. tutakuwa atuangalii. ohooo!

Anonymous said...

We anon wa tano, kichwa chako ndicho kiko nyuma, vinginevyo how do you explain the fact that you still visit this blogspot and, yet, you criticize it? Zamaradi wapuuze hao wajinga wenye kejeli zisizokuwa na kichwa wala miguu. Big up Zama...We love you...

Anonymous said...

God bless Zamaradi. Amen. Ngowi wa Arusha.

Anonymous said...

wapumbavu nyie kwahiyo kama ipo nyuma tusiseme? mbona yeye kakiri kweli ipo nyuma na ametueleza sababu? na tumemuelwewa? wewe ndiyo huna akili upoupo tu. unasifia kitu ambacho sicho we vip? ujui leo ni lini wewe. kwenda zako uko.

Anonymous said...

We anon wa July 11, 2011 9:21 AM. Wewe ndio mama wa wapumbavu wote. Umeanika chupi yako chafu hadharani kwa kuanza kutumia neno "wapumbavu" kwanza. Kumbuka kutukana hakuhitaji akili, mhuni yeyote kama wewe anaweza kutapika matusi kama wewe. Sisi pia tunaweza kutukana lakini tunajizuia kwa kuwa matusi ni ushenzi. Kwa hivyo koma kutukana kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako.