Friday, July 1, 2011

ALBUM YETU....


Mjengoni na rommy jones
Na Ally Rhemtullah!! Hii ilikuwa Serengeti FIESTA Mwanza pale CCM KIRUMBA


Na mama jonii (Aisha Mchomvu), Mwanza pia


Nikiwa nimezungukwa na mama jonii na baba jonii.. Adam Mchomvu pamoja na his girlfriend Aisha Mchomvu!! pale Lips club Isamilo Mwanza..

Na Adam

Reuben Ndege pamoja na Mwasiti almasi siku ya kumtafuta Miss Mwanza pale Gold Crest Hotel

Na Ally again

Na rommy

Na hiyo ndio Album yetu


No comments: