Wednesday, July 6, 2011

SORRY GUYS WAS BUSY KIDOGO NA MAJUKUMU...

Kuna mengi nafanya zaidi ya hii blog, I know nawadissapoint sometimes kwa kushindwa kubalance but kuna muda mambo yanakuwa yanabana sana kiasi cha kushindwa kupata hata muda mdogo wa kuingia humu, am sorry guys but am almost back... muda si mrefu utaratibu utaendelea kama kawaida!!!

Nimepata maoni mengi, wengine wakininawa but all in all am really happy for that sababu kama si mapenzi yenu na blog sidhani kama mngepiga hizo kelele ambazo zimesaidia kidogo kuniamsha kwa upande mwingine kwa kujua kuna watu raha yao ni kuona vitu vipya kupitia zamaradi, hivyo ukimya wangu ni kama kuwanyima haki yao ya msingi!!!

Nawapenda wote mnaonipenda na msionipenda pia..

Pamoja!!!

5 comments:

Anonymous said...

kweli zamaradi hususan mimi kiukweli nakumiss sana kila siku nackek blog yako ila pole kwa majukumu ndio kazi tena bt tuandalie mambo mazur when u come back namiss take one saaaaana.its me kutoka pande za paris

Anonymous said...

ACHA SAHUZI ZAMA wewe kutokuupdate kwa mda mrefu ndo kawa yako huna lolote unatuboa sn na km ulujua kuwa una mengi ya kufanya kuliko blog umefungua ya nini?????? au ndo mambo ya kuiga?????? hapo ofisini we ndo mwenye majukumu mengi kuliko wengine????? mbn DINA na DIVA wapo shapu kutuhabarisha????? kila ki2 mpangilio we umeshindwa basi funga usituzingue. kingine punguza kumix luga wakati mwingine unaboa mashauzi mengiiiiiiiiiiiiiii UNAKERA

Anonymous said...

Nami nakupenda japo moyoni mwako unajua mwenyewe kama unanipenda au unipendi
wako mdau
james

Anonymous said...

WE NI MTANGAZAJI TU AU KUNA KINGINE HUKO MJENGONI WAFANYA????? I MEAN PENGINE MNI SECRETARY AU LA UBIZE GANI HUO????? HATA KUSAGA NA RUGE SIO IVO LOL

Anonymous said...

James, Ukitaka kujua kama Zamaradi anakupenda, lazima umtolee uvivu umfuate live, barua peke yake haitoshi.
Mdau.