Tuesday, July 19, 2011

AISHA MADINDA AIKIMBIA TWANGA PEPETA NA KUHAMIA EXTRA BONGO..

Katika kile ambacho hakikutegemewa na wengi, mnenguaji wa siku nyingi sana ambae alikuwa akiifanyia kazi Twanga Pepeta Aisha Mbegu maarufu kama Aisha madinda ameihama rasmi Bendi hiyo ya The African Stars Twanga Pepeta na kukimbilia Extra Bongo ambayo iko chini ya Mzee wa Farasi ally choki..
Akitambulishwa rasmi kama mwana Extra Bongo..
sababu kubwa aliyoitoa Aisha alisema ni kutokana na safu ya wacheza show wa Extra Bongo ambao wengi wao amewazoea na amefanya nao kazi siku nyingi sana hivyo kukutana nao tena huku kutamfanya awe comfortable zaidi na kazi yake..
Kabla ya Aisha kuhamia Extra Bongo akitokea Twanga, tayari Extra Bongo ilikuwa imekwishanyakua wanenguaji wengi kwa mpigo kutoka Twanga akiwemo kinara nyamwela, Super danger, otilia pamoja na wengineo hivyo huenda hao ndio aliomaanisha aisha madinda kwamba ndio watu aliowazoea!!

12 comments:

Anonymous said...

Hiyo sura yake mbona imechoka sana? kama mzee mambo ya mkorogo hayo..

Anonymous said...

Hiyo sura yake mbona imechoka sana? kama mzee mambo ya mkorogo hayo..

Anonymous said...

hasemi ukweli tu sura imeporomoka kwa midawa ya kulevya hajihurumii na afya yake.

Anonymous said...

Cjashtushwa na yeye kuhama juu hiyo ni kawaida yao. mie huo uso jamani lol ni mkorogo au utuuzima????????

Anonymous said...

aisha ushakwisha tena dah!!!!
acheni mkorogo wanawake mtajutia sana uso kama wa bibi kizeee.

Anonymous said...

Huyu kalinya twangwa, kamkorofisha mkurugezi wa Aset alikuwa akimsaidia matibabu ili aache unga, angalia alivyoharibika sura maskini, Ali choki wachukuwa makombo tu keshaisha habari yake huyoooooooooo.

Anonymous said...

Soma kuhusu mikorogo
http://semasikika.blogspot.com

Anonymous said...

Acha mkorogo hasa ukizingatia kuwa mkorogo ni hatari sana kwa afya yako.

Anonymous said...

Wewe nawe, si creative hata kidogo. Iga kwa Dina. Kazikuweka habari zilizopitwa na wakati tu.

Anonymous said...

sasa wewe umefata nini humu, si uende kwa dina eti iga kwa dina, kwanini wewe usiende huko kwa dina, mwanga mkubwa wewe tena hujaitwa humu kinachokuleta nini pumbavu zako kama wewe huburudiki sisi kwetu sana tu eti dina huyo dina ana nini cha maana, muone kwanza hovyoooooooooooooooooooo.

Anonymous said...

Huna lolote hutaki ushauri, update habari kila siku habari hiyo hiyo anaekukosoa anakupenda usipende kusifiwa kila siku

Anonymous said...

Zama ahsante kwa kutuhabarisha. Usiwasikize wajinga wachache weny kukulaumu, wengi wetu tunakupenda sana. Kuhusu Huyu Aisha naona mkoroga umemkoroga vibaya sana.