Wednesday, July 6, 2011

SIJAWAHI KUONA HII TANGU NAZALIWA, HII NI KALI KULIKO!!!


Kiukweli kabisa hii sijawahi kuiona tangu nazaliwa especially kutoka kwa msichana, hebu angalia hapo juu, hii ilikuwa ni MWANZA kwenye Serengeti Fiesta 2011 nikajikuta nimepata hamasa ya kumrekodi tu na simu..
Mshamba sikuwa peke yangu niliekuwa nashangaa tena afadhali mimi niliekuwa nashangaa kimoyomoyo, pembeni watu walishindwa kuvumilia kabisa wakawa wanashangaa na makelele juu ya kumshangilia!!!
Jionee mwenyewe!!!

5 comments:

Anonymous said...

Clip nzuri sana hii Zamaradi. Finally you have come back to your senses. Hivi ndio vitu vya kutuletea. Sio personal life style zako na baadhi ya maisha ya movie ya huko mjengoni.

Anonymous said...

KUBLOG ZAMA HUWEZI KWANINI HULIKUBALI HILO??????????? UKO BIZE KILA SIKU KWANI WE NANI HASA HAPO CLOUDS????????????ACHA UWONGO UNATAKA KUNAMBIA SHUGHULI ZOOOOOOOOOOOOOOTE NZITO ZA HAPO MJENGONI UNAZIFANYA WEWE????????USIJISHAUWE KM VO TUPOTEZEE

Anonymous said...

yaan nimeipenda sana hii picha inafurahisha sana i like it

mimi said...

twiga stars kazi kwenu

Anonymous said...

acheni kumponda zamaradi kama hampendi anacho fanya fungueni brog zenu muweke mnayo taka wambea wakumbwa nyie.Zama kip it up my dear nimeipenda sana hii clip sasa twiga stars wafanye mipango tu.hao wa poli poli hapo juu ni kama kuongeza sh 100 kwenye trion inahusuuuuuuuuuuu

am Janeth from LA,USA