Tuesday, July 19, 2011

THT in America...


Kwasasa wasanii kutoka Tanzania House of talents THT Mwasiti, Linah, Barnaba na Amini wako Marekani ambapo wanatarajia kuimba jukwaa moja na Usher raymond ambayo itakuwa ni kwaya ya watu 14.


Hizo ni sehemu za rehearsel wanazoendelea kufanya wakiwa huko
Na hiyo itakuwa ni historia nzuri sana kwenye career yao ya muziki kuimba jukwaa moja na Usher raymond ambae ni msanii mkubwa sana Duniani..
All the best guys!!!

5 comments:

Anonymous said...

lina ananiboa na hiyo style yake ya kiduku.

Anonymous said...

mimi lina ananiboa anavyojiweka nyuma na kutokujiamini kama anaona aibu vile? au anaogopa kuulizwa swali ngeli haipandi?

Anonymous said...

tukubali tukatae jamani kujua kiingereza kuna umuhimu wake.sio kwa ajili ya music tu,ila hata kwa njia ya filam.waimbaji wenzetu wa ki nigeria wako juu,nina amini lugha pia inachangia

Anonymous said...

THT Mwasiti, Barnaba, Linaah all Y'all are blessed with Talents jamani. Good luck with the performance with Usher and i believe you are all going to make us PROUD.

Anonymous said...

Kwani huyo Linah hana style nyingine zaidi ya Kiduku au una mtu amemwambia anapendeza sana?? Afu amepoza mwanamuziki gani amepoza damu imelala kabisa.