Monday, July 11, 2011

NIMEJIKUTA NIMEMPENDA TU HUYU MSICHANA...

Nimeiona hii picha ya huyu model kutoka kwa Nuru the light, nikajikuta nimempenda tu huyu msichana bila sababu ya msingi..

Pamoja na kwamba walikuwa ma-model wengi lakini nilijikuta jicho langu limeganda hapa...

To me she is really Beautiful.. nimempenda tu na sina sababu ya msingi.. hivyo sio mbaya hiyo ikawa picha ya leo!!!

6 comments:

Mama KWC said...

kafanana na happy magese aka millen right?

Anonymous said...

tupe manews hatutaki ULESBIAN hapa unless km kawida yako huna cha kutuhabarisha

Anonymous said...

UMEMPENDA KWA SABABU MNAFANANA! I GUESS

Anonymous said...

kwa sababu unafanana nae?

Anonymous said...

zama eh! kiasi fulan mnafanana mwaya. like it

Anonymous said...

Birds of a feather flock together...she has tutsi like features.