Tuesday, July 26, 2011

I LOVE THE HAIR mama Jonii.. Looking soooooo GOOD!!

Kiukweli nimezipenda hizi nywele sana, zimekupendeza mnoo. .. I love them for real!!!
nimeipenda hii picha jinsi ilivyo ilivyo tu... mama jonii unatisha!!!

Saafi.. looking Gorgeous kwakweli!!!

21 comments:

Anonymous said...

I don't like her hair coz its FAKE!!!! Fake can never be gorgeous Zama. Tuacheni kunyoosha nywele zetu tuacheni kujichubua. Remember: Black is beautiful. Kazi ya Mungu haina makosa. Fatma wa Chang'ombe.

Anonymous said...

mbona mama johnyy amezeeka kuliko baba johnyy

Anonymous said...

mmhh zama na wewe kwa kupenda vitu fake mbona hakuna mvuto hapo kabisa labda hiyo saa tu ndo ya maana

Anonymous said...

wakina baba jonii si wanataka hela wala hawaujali huo uzee wake bibi kwani anatembea na mkonoja??

Anonymous said...

yaani mzeee wala sijampenda haendani kabisa na baba joniiii mh zama acha kusifia vitu visivyosifika au ulikosa cha kupost mamiiiiii labda nivae 3d glasses lakini noooooooooooo big no yalaaaaaa

Anonymous said...

umeona enh!!!!!!!!anazeeka halafu anapenda kujionyesha

Anonymous said...

jamani mama jonii umezeeka baba jonii huna macho mmmh haya wee!

Anonymous said...

Nywele nzuri! zimempendeza saaaaana!

Anonymous said...

zama acha kusifia vitu visivyo na sifa sasa hapo kipi kizur hata hizo nywele waaaapi hamna kitu.pole pia kwa baba joniii umeangukia pasipo mvuto

Anonymous said...

who is she???

Anonymous said...

i smell jealous...

Mama KWC said...

mh! binadamu kwa wivuuuuuuuu, sasa kawakosea nini mdada wa watu jamani??? Kumbukeni kuwa aliyewamba ninyi na huo umalkia wenu ndio aliyemuumba yeye, hebu kuweni na hofu ya mungu katika kuwakosoa watu jamani............LOL

Anonymous said...

Nakubaliana na wachangiaji wa kwanza na tatu hapa juu: Nywele feki haziwezi hata siku moja kupendeza. Tuache kujichukia. Mwenyezi Mungu Aliyetuumba ana uwezo juu ya kila kitu na anajua kila kitu. Ninaamini kuwa mtu bora mbele ya Muumba wetu ni yule mwenye upendo na matendo mema. Kuhusu uzuri, kila kabila na rangi lina watu wazuri lakini mwisho wa siku uzuri wa asili yaani "natural" ndio uzuri bora kabisa na wenye kujivutia.

Anonymous said...

Mimi sina problem na umri wa mtu yoyote na sioni ubaya wa mwanamke kumzidi mwanamume hata kwa miaka 10, bora mapenzi na maelewano. Lakini lazima nikubaliane na wanaokataa uzuri feki. Ikiwa Waafrika tutazidi kuendelea kujidharau na kujichukia basi dunia nzima wataendelea kutudharau.

MfaMaji said...

Habari njema utangazwa na vizuri ule na wenzio,.wapenda slope wa mjini mpooooooooo???

Anonymous said...

Naamini kuwa mama Jonii angelipendeza zaid kama angelijiamini alivyo. Ila sipendi hao wadau wenye kutoa negative comments. Mimi mke wangu kanipita umri wala sioni tatizo lolote. Get a life pipo...

Anonymous said...

i like her nd her hair it is so beu

Anonymous said...

mna uhakika kajichubua? huu mtindo wa kujiona nyie ndo waafrika sana ukome, sio wanawake wote ni dark skin kuna waafrika light skin.Na mkome kupangia watu maisha ujana wake anaujua huyo jonii, ndo kashampenda

Anonymous said...

so fake hakuna uzuri katk ki2 fake

Anonymous said...

Umri si tatizo tatizo ni huo ufeki.

Anonymous said...

Good