Friday, July 22, 2011

THANKS FOR THE COMPLIMENTS MISSIE POPULAR..

Katika pitapita zangu leo kwenye blogs tofautitofauti ghafla nikakutana na hii post ambayo iliwekwa na missie popular.blogspot.com siku ya july 15, 2011 ambayo ni ijumaa iliyopita lakini mimi nimefanikiwa kuiona leo sikuwahi kuiona kabla, hivyo sina budi kumshukuru kwa kuona alichokiona kwangu.. na alichokiandika kuhusu mimi ni hiko hapo chini

"Random- Zamaradi Mketema
A diva from Clouds TV and one of the best dressed popular people that i know,from Tanzania! She has an amazing voice and such a talent and deep understanding of the movie industry in the country!Today, lets check her trends;
"

Na baada ya hapo akaweka picha zangu tofautitofauti na katika picha alizoziweka mojawapo ni hiyo hapo chini..


Na akamalizia kwa kusema
"In short,she is a trend setter,and we love that about her....Popularized!!!"


Sio maneno yangu ni ya mtu mwingine kabisa kuhusu mimi na Kiustaarabu mtu anapokucompliment kwa chochote hata kama ni kidogo kiasi gani ni lazima uoneshe kuthamini..
hivyo sina budi kusema Thanks for the compliments..


I APPRECIATE!!


1 comment:

www.timothy mwakimbwala.blogspot.com said...

dada zamaladi unatisha hongera sana nimeipenda blog yako kaza buti. nilikuwa mdau mkubwa sana wa kipindi chako cha take one ikla kwa sasa nikio Tabora kikazi cwapati hewani bigup sana