Wednesday, July 13, 2011

HAPPY BIRTHDAY SHADEE...

Anaitwa Saida Khalfan a.k.a Sade (shadeiyaaa) mtangazaji wa CLOUD 9 kupitia Clouds Tv, leo ni siku yake kubwa sana kwenye maisha yake sababu ni siku yake ya kuzaliwa hivyo nachukua nafasi hii kumtakia kila la kheri katika siku yake hii kubwa na katika maisha yake kwa ujumla!!!
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!

2 comments:

Anonymous said...

MWENZANGU HAKA KADADA SAUTI YAKE SIO YA KUTANGAZIA KABSA ILA KANAJIAMINI SAUTI HAPANAAAAAAA

Anonymous said...

Umevaa nini @Zamaradi??? Hivi Mwanza ni joto au ndo unakufa na fashion??? Ungekuwa ofisini sawa ambao kuna AC sasa jua kali na stocking pamoja na blazer/kikoti. mhh hii fashion..