Tuesday, July 26, 2011

FOR SALE......!!!

Kuna mdau kanitumia hii kupitia facebook, kwa yeyote anaehitaji awasiliane nae kupitia 0714766077
Haya jamani kazi kwenu!!

4 comments:

Anonymous said...

niiice!!napenda sana vitu vya aina hii ila sijuagi pa kuvipata..naomba kujua bei ya hiyo seti ya pili..mi nipo mkoani..
mama lulu..

Anonymous said...

tutajie bei hata kama sio fixed angalau ina-range kati ya ngapi hadi ngapi?

Anonymous said...

looks nice lakini je ni madhubuti? kwa jinsi hiyo material iliyotumika ilivyoachana kati ya tundu na tundu ni matundu makubwa sana. nadhani ingesukana kwa karibu zaidi (thick) ingekuwa madhubuti zaidi lakini ni jinsi nionavyo tu.

Anonymous said...

binafsi nimepiga sim haipokelewi for long,hebu tupe bei watu tufurahishe roho zetu bwana....ramadhani kareem.