Wednesday, July 13, 2011

WAKILISHA MIAKA HAMSINI YA UHURU!!!!

Hizo T-shirt unazoona tumetupia ni Design ya Ally Rhemtullah pamoja na Vida mahimbo zikiwakilisha miaka 50 ya Uhuru.. hapo niko na Jimmy jam pamoja na mbunifu Ally Rhemtullah!!
Hii ilikuwa ni MWANZA kama tulivyo juu na pembeni ameongezeka Albert G. Sengo mwenye T-shirt Nyeusi ambae huwa ni mwenyeji wetu kutoka Mwanza.Zinapatikana kwenye rangi tofautitofauti kama Nyeusi, Nyeupe, Nyekundu kama unahitaji unaweza kuwasiliana na Ally ama Vida ambao ndio madesigner wa T-shirt hizo!!!

1 comment:

alice said...

da Z,Sori wer am gng 2get coz nimezipenda