Thursday, January 27, 2011

MIMI SIRINGI ILA HII NDIO STYLE YA MAISHA YANGU (NINA SWAGGA)- HEMED

watu wengi sana wamekuwa wakimlalamika HEMED kama mtu anaeringa, kujiskia na majivuno na hiyo ikasababisha kwenye interview niliyofanya nae nimtupie hilo swali anieleze ni kweli kwamba anaringa, na kama ni kweli kwanini ana tabia hiyo ya kujiskia, hivyo nikamuomba aliongelee hilo kama ni kweli ana tabia hiyo ama vipi..

HEMED Alisema..
"Kila mtu ana maisha yake na kila mtu anaishi vile apendavyo mimi hii ndio style ya maisha yangu, kwamba nimeamua kuishi hivi basi nitaishi vile ninavyopenda mimi, lakini ukizungumzia swaala la kuringa kiukweli hata mama yangu mzazi alishawahi kukiri kwamba mimi siringi ila watu wananichukulia vibaya"

Akaendelea...
"Unajua kuna TOFAUTI KATI YA KURINGA NA SWAGGA, kuringa ni zile habari za kike za kujiona wakati binaadamu wote tuko sawa, SWAGGA ni kile kitu ambacho lazima uwe nacho wewe kama style yako sasa kama utakuwa huna SWAGGA lazima utapea ndiomana NDUGU YANGU MLELA ANAPEA, kwahiyo MIMI SWAGGA TU LAKINI SIO KAMA NARINGA MI NIKO PEACE,mi shabiki yangu akiniambia HEMED naomba nikushike mkono basi niko radhi nimkumbatie hiyo yote kuonesha Love."

Nikamuuliza kwahiyo MLELA hana Swagga alichojibu ni kwamba yeah MLELA hana SWAGGA...

Hemed akishow love kwa watoto
UNA LOLOTE!!!!????

29 comments:

Anonymous said...

hujui lolote wewe kaa kimya fala wewe kwanza mshamba maringo kibao huna lolote na wewe zamaradi unapenda kumkumbatia sana hemedi sijui una ubia gani na yeye,kwanza hajui kuigiza mimi kwa upande wangu siangalii picha yake hata moja, halafu kama anavyosema kuhusu rich hawezi kushindana nae, hamuwezi hata kidogo. hemed ni utoto unamshumbua akikua ataacha tu, ni mjinga sana huyu mtoto. na mwambie aache kujifananaisha na watu, kwanza hajui hata kujieleza kwenye vyombo vya habari eti mademu wanamtaka saa ndio nini? wanaomtaka ni hao wajinga wenzake. mwambie ajirekebishe aache ujinga ni pumbavu kabisa halina akili hata kidogo.

Anonymous said...

KWANI HUYU MBONA ANA MATATIZO SANA? KILA MTU ANAHISI KAMA ANAMCHUKIA KWANI YEYE NI NANI? NI WA KAWAIDA SANA ILA AMEZIDI KUJIHISI. ME HATA SIMFAGILII WALA NINI ANATAFUTA USUPERSTAR KWA MIGONGO YA WENGINE MARA MLELA MARA RICH?? MMH! KILA MARA AKIONGEA ANAJITAMBA KUWA ANAPENDWA NA MADEMU HIYO SIO ISHU TUNACHOANGALIA NI KAZI TU. AMEZIDI KUJITAMBA KUHUSU MADEMU SIO ISHU WALA NINI! HATUFAGILIIIIII

Anonymous said...

wewe hemed unatabia mbaya,unaringa,una madharau una majibu ya ovyo kwa ufupi wewe ni USELESS.tena usijifananishe hata kidogo na mlela yuko juu na ni mstaarabu mno.

vivian said...

kwakweli mimi nakushangaa sana we bwana mdogo nahisi utakuwa na tatizo maaana haiwezekani kila mtu ugombane nae wewe,ishu ya wewe na rich eti anakuchukia akuchukue wewe una nini?kwa nini asimchukie kanumba au ray ambao wapo juu kama obama akuchukie wewe,acha kujistukia bwana mdogo richi ni mkongwe sana na wala huwezi kimfikia hata kidogo japokuwa unadai eti upo juu,na kitu chengine unaulizwa ishu ya rich unamuhuusisha mlela uoni huo ni ushamba na ulimbukeni?nadhani mlela anakunyima usingizi sana haiwezekani kila wakati unamtaja mlela hata pasipohusiana na mlela,acha izo bwana mdogo huo ni ushanmba.eti unatambia sauti nene what sauti nene,we bado wa kuja kijana hujui lolote.

Anonymous said...

nadhani utakuwa na tatizo bwana mdogo maana kila mtu unagombana nae wewe kwani una lipi kubwa hasa,eti rich anakuchukia kwa nini asimchukie kanumba ambae yupo juu yako akuchukie wewe/acha kujistukia bwana mdogo wewe humfikii rich hata kidogo hata kama unasema upo juu,na inaonekana mlela anakunyima usingizi sana haiwezekani hata pasipomuhusu mlela wewe unamtaji why?unaongelea habari ya rich unamhusisha mlela,unajiona supastaa kumbe hamna lolote kazi kuuza sura yako ya karolait tu,acha ushamba bwana mdogo wangapi wapo juu kwenye gemu na wala hawana habari za kishamba kama zako,kwa kifupi sikufagilii hata kidogo maana wewe ni limbukeni sana,

Anonymous said...

kama kuna mafala na malimbukeni kwenye Game ni Hemedi..hivi wewe kweli ni wakujilinganisha na Mlela? yule ana kipaji na anajua nini anafanya...sasa wewemwenzangu unauza sura,hujui kuact,huna talent unaforce,na sio acting hata kuimba nyimbo zako me sipotezi tym kuskiliza....movie ulocheza ndo kabisaaaa...kifupi ur nothing,useless,na mazazagazaga yote,,kaa utulie...we kwa mlela bado saaaana inabidi ukasome sanaaaaa....ndo ukompit nae..

Anonymous said...

Haha hili likaka linaringa. Interview zake na magazeti yanamuelezea vibaya.kusema kweli mlela yuko juuu sana tuu kumfikia ni ndoto za alinacha

Anonymous said...

Bana ndgu polepole hatuwezi jua hemedi amekuli mazingira gani so hatuwezi kummbadilisha cha msingi ni kuchukua kile cha maana na yale yakwakwe ya kijinga tumwachie! lakni tukitaka kila mtu ashambulie dah noma!!!

Anonymous said...

mshauri asijilinganishe na mtu yeyote, asimame yeye kama yeye, Mlela na Rich wapo juu sana hawezi kuwafikia hata mara moja, mtoto wa Mama huyooo

Anonymous said...

kweli mshamba tu,juzijuzi hapa kamtukana mtangazaji mmoja wa clouds,tena hewani,hana lolote huyo,si riziki!

Anonymous said...

KWA KWELI ZAMARADI, HEMEDI ANA MATATIZO SANA KILA KUKICHA MAJIGAMBO KIBAO. MTOTO WA KIUME HATAKIWI KUWA HIVYO MANENO MENGI MWISHO WA SIKU YANAKUPOTEZEA UMAARUFU.TENA UKIJA KUMUHOJI MWAMBIE HATUMPENDI HATA KIDOGO. HATA WANAWAKE WANAOMFUATA WAJIANGALIE IKO SIKU ATAKUJA KUWATUKANA WAAIBIKE. ZAMARADI UKIWEZA PRINT HIZI COMMENTS THEN UMPATIE RAFIKI YAKO MWAMBIE HATUMPENDI HATA TONE KWA UPUMBAVU ANAOUFANYA

Anonymous said...

It's real unatia kinyaa unavyojitamba kuwa wewe ni mzuri, mwanaume hasifiwi sura Hemed bali kazi zake, huyo Mlela humpati hata kidogo yupo juu na anapendwa kwa kazi zake, unasumbuliwa na utoto isitoshe unaforce uonekane superstar!!!!

andrewjr said...

tatizo ni umaskini na ushamba tafuta pesa mtoto wa kiume acha mambo ya kike

mwalimu said...

huyo dono ni bwabwa....yaani punga ci rizki........fala huyoooo

mwalimu said...

huyo dono ni bwabwa....yaani punga ci rizki........fala huyoooo

Anonymous said...

mpumbavu huyu kwani kwanza katoka kwenye life gani mbona mshamaba sana hata ku act hujui juso lile zitoooo kama uji wa mchele.......

Anonymous said...

zamaradi,,hebu acha kumwongelea huyo binti,,,he s so irritatn
,eti anapendwa na mademu.mademu gani???labda uko uswahilin kwao....zama luv achana na hako kajinga,,,,hebu tuletee story za maana achana na huyo,,,,Mlela na Ritch ni wanaume.wacjiumize kichwa,,,,,we shoga wa kiarabu F**** off

Anonymous said...

Zama kiukweli mimi simtoa comment kwny blog ata cku moja mpaka nimecomment leo ujue kuna jambo limenikera hasa Hemed ana umri gani firauni huyu ananikera mimi namuona kichefuchefu cjui ata nianzie wapi mtoto wa kiume kuwa na nyodo km demu maneno yakujisifia ovyo wakati hana lolote nashindwa kumuelezea yani

Anonymous said...

Tatizo Zamaradi na wewe unamdekeza sana huyu lofa,kwanini unatupotezea muda wetu kusikiliza ujinga wake hatutaki umhoji tena kwani ni mshamba sana yaani mimi nikiona tu picha yake huwa natapika.ku act kwenyewe hajui huyu ndo awe sawa na rich au mlela kweli anaota kwanza huyu shoga mtaani wenzake huwa wanamchukua tunaona hivihivi.halafu mi naomba wenye filamu zao mumpotezee huyu msimpe nafasi ya kuigiza tuone atauza wapi sura. ndiyo sura yako ya kike ndo maana shoga.mpumbavu mkubwa.ZAMARADI TAFADHALI HATUTAKI UMFANYIE TENA INTERVIEW PLZ TUESHIMU SI WADAU WAKO KUANZIA LEO TENA MPAKA TAKE ONE NA DINA TUNAMWAMBIA SIKU UNALETA STORY ZA HEMED AKUPOTEZEE VILEVILE.

Anonymous said...

Zamaradi ki ukweli huyu kaka anaboa mana kila kukicha anasema anachukiwa kwa kipi anachochukiwa na watu wakati hala lolote achazo kinamzingua mtu zaidi na kuwa na tabia kama za kike,mtu mwenyewe mbaya na kata kutembea kama mwanaume hawezi.Inabidi ajichunguze zaidi mana hao anaogombana nao hawafikii hata mara mia.yeye kama kaenda kuuza sura ya crime yenye hyroquinine nikpango wake mana wenzake wapo nature ile mbaya.kwa upande wangu imechoka story zake za kila siku mana hana jipya zaidi ya kulumbana na watu wanye majina yeye anchotaka ajipaishe tu kama yupo mjini wakati yupo kawaida sana

Anonymous said...

Zama, yaani sijui nisemeje, SIMPENDI HUYO DOGO, SIJUI KAMA ANA AKILI SAWA SAWA, MWANAUME KAZI SIO KUUZA SURA, KWANZA ANAJIHARIBIA MAANA KILA MTU ATAKUWA ANAMKWEPA, ANAFANYA KITU PASIPOTAKIWA, MWISHOWE ATABAKI PEKE YAKE MAANA NINA IMANI HATA WASANII WENZIE HAWAMPENDI, HEMED IS SO STUPID, HAMNA MFANO

Anonymous said...

Jamani wadau kwani hamjui huyu jamaa(Hemedi) ni SHOGA.....??? Kwa taarifa yenu atakuwa ametamani kuliwa na Mlela au Richie sasa amegundua hao sio wapenda Mai ndio maana kaanza kuwasongasonga..... Siku akitimuliwa na basha lake ndio aangushie hasira zake kwa matop in town wa movie.... hawezi kuwafikia hata miaka 873 ijayo... ninamjua basha wake mmoja anakaa mitaa ya masaki na nimeshawahi kuona lie akimpapasa tako katika parking ya club moja hapa jijini.... MLELA NA RICHIE WATAENDELEA KUWA JUU MIAKA 953 IJAYO....

Anonymous said...

Zamaradi. Nakuheshimu.
Sijawahi ku comment hapa hata siku moko.. Nami ni mdada mtu mzima kiasi -40+.
Lakini huyu mtoto ananikera hadi basi.

Ndio maana saa nyingine watanzania tunaaibisha taifa na watu wana tu judge kuwa ndio wote tulivyo sababu ya watu kama hawa.

Hemedi alianza tangu Project Fame. Ujinga ujinga , kubishana ovyo stejini na kutosikiliza ya wakubwa na waalimu, matokeo yake kila mtu aliyaona.

Jaribuni kuwafunza hawa wasanii, muwe na wasaa wa kuwa kuwa na nasaha nao. Maana kesho na keshokutwa, akitoka hapo akaenda sehemu nyingine, watu watasema ee huyu mTZ blah blah aibu.

Kwa ufupi, Hemedi :

1.Mshamba
2.Limbukeni
3.Shule-less ( jamani twende mbele na nyuma shule ni muhimu)
4.Hana exposure
5.Bwabwa
6.Anatafuta cheap popularity
7.Hana vision. Hajui hata anataka nini na yote hii ni kutokana na shule ndogo na kutokuwa msikivu na kutotaka kujifunza.


Nakuomba Zamaradi mpige stop any stories kuhusu huyu mjinga.
Awatafute watu wazima katika fani na hata katika fani zingine wamfunde namna ya kuishi na watu.

Nachoka mimi na upumbafu.

KIPAPLI

Anonymous said...

Mi naona Hemed atakuwa na vi_character vya kishoga maana haiwezekani mwanaume anayejiamini na rijali ukasimama mbele ya jamii na kuanza kujiita wewe mzuri tena mbele ya wanaume mi sikosei tukianza kumfuatilia in deep kuhusu mademu zake lazima tutaambiwa wahafikishi kileleni,an vielement vya Ushoga huyo bwana mdogo,unajiwa watu wa type yake wanaopenda kujiita wazuri mara nyingi siyo ngangali kwa mademu sasa wanaji-keep busy na mademu then behind wanajisifu wanapendwa.Si uhongo Zamaradi kama vp fanya research ya hiyo kitu au watafute mademu zake wape i-view utasikia.....Aiwezekani Dume la mbegu la ukweli ukawachukia wanaume wenzako basi wewe utakuwa Jibinti..ni hayo tu,ya ziada kuhusu ya watu wa type hii wewe niweke hewani then i will write you..Mpaka Powder wa-head(Hemed)huyo.

Anonymous said...

Jamani lisemwalo lipo kama halipo laja inawezekana Zamaradi huyo mtoto akawa mtoto wa watu hebu work out on that....halafu uiweke hewani hiyo research yako..and make sure you put them on cassete/records halafu unaiachia hewani katika kipindi chako cha Movie ktk leo tena/TAKE ONE...Kwanza dogo mwenyewe elimu less,mindless,mtungiless,kidumeless..siyo siri Mimi ni Basha ila nikimwonaga huyo dogo hanipi hamasa kabisa,kuna wakati ananifanyaga nijichukie nikidhani nimepoteza hisia zangu za kibasha.

Mercy said...

cjawahi kutoa comment kwenye blog yako Zama, kipindi chako cha take one j4 01.02.2011 ulimweka huyu kijana kwa jinsi alivyokuwa anaongea alinifanya nihame station plz binti yangu kiukweli huyu kijana c wa kumhoji anatia aibu hata vijana watt wakiangalia hawana cha kujifunza kwake..

Anonymous said...

YAANI NAVYOMCHUKIA UYU MTOTO SITAKAGI HATA KUMUONA ANANICHEFUA IAN WA PROJECTFAME NDIO ALIKUWA ANAMUWEKA KWENYE PLACE YAKE KUIMBA HAJUA SIFA TU TENA ASIJIFANANISHE NA YUSUPH MSTAARABU

Anonymous said...

Mimi ndio smpendi sana huyo Hemedi kweli bwabwa sura nzitooooo kazi kuiba carolight ya dada zake au mama yake shoga wahedi weeee jinga kabisa nenda katafute shule usome kwanza Mlela juuu juu juu zaidi

Anonymous said...

Huyu ni nani kwani?? ameekti maigizo gan???