Monday, January 17, 2011

UKIZUNGUMZIA PICHA WITH GOOD QUALITY HAPA BONGO UNAMZUNGUMZIA RAQEY with I-view media..

Hizi ni baadhi ya zile zilizonivutia zaidi kutoka kwa Raqey... Angalia Flaviana Matata na AY wanavyoonekana bila hao watu huko nyuma
Auto-focus ya hatari.. alikuwa anahitaji hao watatu tu na ndio aliodeal nao.. Flaviana Matata, AY pamoja na Martin Aloyce!!!
Angalia hii picha ndio utaelewa namaanisha nini ninaposema Raqey ni mkali
Mi ningempiga picha Pipi sehemu hiyohiyo ambayo amepiga raqey kwa angle hiyohiyo nina uhakika isingetoka hivyo ilivyotoka.. aidha ningeiunguza yakatokea matakataka au ingetoka picha tu ilimradi picha... Kweli kila mtu na mahala pake.. RESPECT!!!
Haya sasa...
Kwa yeyote anaejua picha sidhani kama tutabishana nikisema hii picha ni kali.. Ni kama wamepanga for a photoshoot kumbe kila mtu alikuwa akiendelea na mambo yake...

UNATISHA brother... you are the BEST!!

4 comments:

Anonymous said...

Thank you zamaradi, I appreciate. Raqey

Anonymous said...

yaani wewe kama hujaenda shule vile ...sasa huyo raqey hapo yukwapi unayemzungumzia,au unafikiri kila mtu anamjua kila mtu we unaye mjua,atleast ungemuelezea ye ni nani km picha huna?uwe unaangalia wenzako wanavyofanya..ubadilike..blog yako inaboa kila mara igo through it lazima kuna tatizo...as well as hiyo picha ya mrembo hapo,mzee magali mwenyewe chini mtoto juu..it doesnt make sense..check hata ya dinamarios akuweke sawa.....mawazo tu

Anonymous said...

Respect to u. Try 2 update ua blog gal

Anonymous said...

he went to xul for it sio kudandia tren kwa mbele