Saturday, January 29, 2011

BEHIND THE SCENE...

ISSA MUSA (claude) katika harakati za kurekodi filamu kutoka kampuni ya 5effect chini ya William Mtitu...
Single Mtambalike (Richie rich)

Tukiwa hoi, Zamaradi na Mwasiti..


Dennis Ngakongwa (cameraman) akiwa makini na kazi yake..
Waigizaji wakiwa na Director wao William Mtitu!!!
Wasanii kutoka 5 effects wakiwa ON SET...

1 comment:

Linus said...

Good looking Zama!!! Kwa mtazamo wangu, nakuomba uwe unasuka,maana unapendeza sana!!!!