Friday, January 14, 2011

HII KITU ILINISHINDA KABISAA...
Katika vitu vilivyowahi kunipitia pembeni hiki ni kimojawapo...

Nikiwaangalia wasichana wanaofanya hivi naona wanapendeza sana kiukweli, na binafsi NAPENDA KUONA MSICHANA anafanya hivi lakini SIO MIMI...


Naamini kwamba kila mtu ana FASHION ama STYLE ambayo imemshinda kabisa kuifanya haijalishi ni nzuri au mbaya...

Kwa wewe unaesoma hapa uwe MSICHANA ama MVULANA ni STYLE ama FASHION gani ambayo imekushinda kabisa kuifanya..!!!????

7 comments:

Anonymous said...

mi ni mvulana halafu siwezi kabisa supra naona zimekaa kisharobaro.

Anonymous said...

Kuvaa mlegezo uku unacha mtalo unaonekana or boxe nje I cant Zama

Anonymous said...

Mimi ni mdada napenda saana kutoboa masikio angalau matundu mawili lakini naogopa kweli kweli kutoboa

Pamela said...

napenda kuvaa kikuku lkn dah inaniwia ngumu na mtu akivaa ananivutia ila CWEZI KABISA KUVAA!!

Anonymous said...

KUWEKA ULE UREMBO WA ZIADA NDANI YA MACHO DA! KUCHEZA NA VINGINE SAWA LAKINI MACHONI AAAA

Anonymous said...

Mi napenda kuona mtu katinda nyusi but not me ingawa nazipaka wanja...

Anonymous said...

Kuvaa hiyo hereni moja tu kazi, itakuwa kutoboa hayo... nei....
Wewe ukiwaona unapenda?? Mi sitaki hata kuona.