Wednesday, January 19, 2011

THE BEAUTIFUL WOLPER.....

Ukizungumzia wasichana wazuri kwenye Movie Industry huwezi kumuacha Jackline Wolper..
Akiwa kwenye pozi tofauti
Ndani ya Crazy color..
Black haiongopi..
So cute.. pendeza sana mamii
Fashionista pia...
Huyo ndio Jackline Wolper katika pozi tofautitofauti....
Nini unapenda kutoka kwake!!!!????

13 comments:

Anonymous said...

mi sipendi anavyofinya finya kisauti chake hicho,mwambie aongee kawaida pia waache kuwaiga naigerian kupiga makelele ndo namna yao ya kuongea,waongee polite tu ujumbe utafika

Anonymous said...

hakuna, kawaida.

Anonymous said...

msichana mzuri sana huyu zamaradi.... Jack keep you beuty.

Anonymous said...

she,s such a nice lady,ilv ha self

Gilo said...

I like her face, ila sipendi style zake za nywele nyingi naona hazimpendezi, awe simple tu. Kwaaa Jack

Anonymous said...

anasura nzuri ambayo imerembwa na macho mazuri,napenda hicho kutoka kwake...kikazi ana act zaidi kuliko uhalisia..bado aibu nyingi kwenye baadhi ya part anakua fake..irene uwoya ni wakuigwa japo watu wanamuona anajizalilisha ila anaijua kazi yake na anaitendea haki na azidi siku zinapozidi kwenda...wolper take the spirit acha kubeba sifa za uongo...

Anonymous said...

mzuri kweli ila naungana na mdau hapo juu achane pose za kubananisha sauti yake anaboa kwa hilo aongee kawaida tu anataka kuwa na sauti kama ya wema sepetu wakati ni sauti yake na yeye anaforge

baraka kitale said...

jack ni mzur macho yake ya kunivutia hisia then kama stry ya nywele aiko poa kwake niayo 2 in all jack nimlembo

Anonymous said...

zama inabidi umwambie ameingia kwenye fani ya kumovie kwa kuscrumble tu, si muigizaji ni muuza sura zaidi hana uhalisia wowote hayuko kikazi, Irene, wema na Aunty they are way far better than her. mbaya zaid ni nyinyi media mnapoanza kumpamba mtu hata pale anapoharibu sasa atajirekebisha vp wakati nyie mmeshampa ujiko??????

Anonymous said...

Ni mzuri wa sura kwaujumla ila tu style yake ya nywele ata km ni star haimpendezi anakuwa km guberi lililokubuhu, na sauti yake anaforge anabana pua ajiachie tu mwisho atajamba bure.Anapouse mno mpaka anaharibu lakini kwenye swala la kuact bado uwoyo kamfunika, aunt Ezekiel wako mbali mno wale wanaact kiukweli Jackline hana uhalisia mikogo na kubana sauti mingi km anatongozwa vile

Anonymous said...

Hivi kuonyesha mapaja ndiyo fashion ya sasa? Kwa nini tukiiga vitu kutoka Ulaya tunaiga uozo tu? Kuna mengi mazuri sana ya kuiga kutoka Ulaya na USA, kwa mfano, uchapaji kazi, nidhamu, kuheshimu muda, usafi wa mazingira n.k.

andrewjr said...

wow she z real cute...............i lyk her

Anonymous said...

simpendi ana over act na malaya sana