Sunday, January 23, 2011

KUTANA NA MISS XXL 2010

Anaitwa Hamisa Hassan Miss XXL 2010, alipatikana kupitia XXL BACK TO SCHOOL BASH inayoandaliwa na Kipindi cha XXL kutoka CLOUDS FM ambapo alikuwa ni mmoja kati ya washiriki ambapo jicho langu lilimuona kutoka mbali na nikamuomba ashiriki akakubali na hatimae aliweza kuibuka mshindi..

Amezaliwa DECEMBER 10 mwaka 1994 mkoani MWANZA akiwa ni Mnyamwezi kwa kabila... Shule ya msingi amesomea MABATINI primary School na kwasasa bado anaendelea na Masomo ambapo yuko FORM FOUR kwenye moja ya shule za sekondari hapa DSM.

ROLE MODEL wake kwa hapa Tanzania ni LISA JENSEN na anasema anampenda sana Lisa kwasababu ni muigizaji na mwanamitindo at the same time na kikubwa anapenda anavyoact, na mtu mwingine anaemuangalia (role model) ni sheria ngowi coz ni big designer hapa Tanzania na anafanya kazi zake kimataifa,Wakati kwa NJE anampenda sana BEYONCE.

Plans zake ni kuwa mwanamitindo na muigizaji mkubwa hapa BONGO.. I think maproducers wa filamu CAST mmeiona...

Nikimuangalia HAMISA kwa mbali naona kama anafananiafanania na WEMA SEPETU vile KIMUONEKANO... She is SO BEAUTIFUL and PHOTOGENIC too!!!

I just like her kiukweli...

Huyo ndio MISS XXL 2010...

3 comments:

Anonymous said...

Kapendeza sana, kiukweli ni mrembo sana, ushauri wangu azingatie masomo na asilewe umaarufu, ajiheshimu atafika mbali

Anonymous said...

kapendeza ila kaharibu na background hta fb nmeona pic yake ila angetafuta sehem nzur kwa io pic angechana zaid tho shez gudda

Anonymous said...

of coz in post ya long ila nimeamua tu kupitia pitia ya nyuma ambayo sikuwahi kuyasoma but kiukweli nipo tofauti na mdau aliyecomment kuhusu background mi naona backgound ya picha iko poa sana natamani kuelezea ila kama nashindwa kuielezea hivi in short ipo natural ipo kitofauti flani hivi dah iko poa bana,yan ye yuko bomba then background ipo old yani mbaya hiyo combination ndo imependezesha sana sijui what i think ila kiuweli nimeikubali sana sana.No Name