Thursday, January 13, 2011

HAPA NA PALE....


With my friend Salome kiganga..

That was tuesday ambapo sikuwa na mood ya kutoka kabisa but I HAD TO kutokana na some reasons.. na safari moja ikabidi ianzishe nyingine so hapo ilikuwa ni mzalendo pub ambapo Twanga walikuwa na celebrities night hivyo baada ya kutoka Mlimani city kwenye miaka mitano ya THT nikaona si vibaya nipite kuchungulia kidogo na hivyo ndivyo ilivyokuwa....

4 comments:

Anonymous said...

nahili joto la dar..full black half longsleeve chini umeng'ang'aniwa hivyo na hicho kiatu..lol..ndo unakufa na fashion?pole...nguo mbona kibao na ni fashion,acha kujitesa..find fashionable n comfortable thing..zamaradi...

Anonymous said...

mbona kapendeza tu jamani, binafsi nimependa alivyovaa, kuna watoa comments lakini we mwenzangu ulietangulia naona kama ni zaidi ya mtoa comment wa kawaida, uandikaji wako wa comments unaonesha kabisa maybe una chuki binfsi na zamaradi, na unaemchukia always anakuzidi,mtu hamchukii mtu bure lazima atakuwa anakupa tumbo joto,utafkiri mke mwenzio? kakuchukulia nini? kama ni kweli usipanick, tafuta mbinu mpya, maana hapo alivyovaa ni sawa kabisa ukizingatia hiyo inaonekana ni usiku hilo joto limetokea wapi,utachekwa wewe sasa hebu tutokee hapa kama unamchukia si tunampenda, go zama though umenikera kidogo hujaupdate kitu leo
A big fan and a friend frm FB.

Anonymous said...

JAMANI NAUNGANA NA HUYO MDAU WA JUU KABISAA..INABIDI WATU TUVAE KUENDANA NA MAZINGIRA SIO KWAMBA HAJAPENDEZA ILA TU HALI YA HEWA YA KWETU HAIRUHUSU HIYO TYPE YA UVAAJI

Anonymous said...

Ukivaa black katika joto HAKUNA MADHARA. Tatizo ni pale unapovaa black juani wakati wa jua kali. Katika fizikia kuna kanuni inayosema 'black clothes absorb sun rays more than any other colour'. Mradi tu usitoke nje mchana juani.