Thursday, October 20, 2011

PICHA YA LEO.. warembo wa bongo movie!!


Wema kajala na lulu!!

18 comments:

Anonymous said...

jamani mmependeza saanaaa, hasa Wema Sepetu. Napenda sana jinsi unavyoigiza dia.All the best

Anonymous said...

urembo wao ungefanana na mambo yao kwa kweli ingekuwa ni furaha kubwa katika jamii yetu lakini uachafu walionao ni noma tena balaa hafai hata wakitupiwa mbwa ni aibu tupu

Anonymous said...

wema unatisha mami but ivi siuachane nahako kadiamond tafuta pedeshee huyo anakupotezea mda afu hata uendani nae nisawa unafananisha biriani namaharage

Anonymous said...

Wema maadam wewe mzuri, nakushauri 1. Anza kujifunza ku'act' seriously. 2. Tuliza kichwa uendane na maadili ya familia na dini yako. 3. Epukana na makundi ya maskendo. 4. Achana na Diamond hata kama ni hodari wa *** kama wasichana wengi mjini wanavyotangaza. Tafuta mtu wa hadhi yako atakayekupenda ulivyo ni si kwa jina lako. 5. Unaweza kubadilika wewe bado mdogo kiumri.

Anonymous said...

NAKUKUBALI WEMA KWA KILA KITU ILA KITU KIMOJA ACHANA NA VITOTO VIDOGO VINAKUPOTEZEA MUDA WAKO WE NI WALEVO YA JUU KWANINI UNAJISHUSHA HADHI MATOKEO YAKE UNAADHIRIKA KWA KUKATALIWA TENA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI INAYEKUPENDA KWELI ATAKUNADI ADHARANI? SIKUPENDA KABISA DIAMOND ALIVYOWAITA WAANDISHI WA HABARI NA KUWAELEZA HAKUTAKI TENA NA AMEKUMWANGA NA KUKUITA WEWE LAKUVUDA HALINA UBANI HAYO YALIKUWA YAKWENU BINAFSI HAIKUTAKIWA AYAWEKE ADHARANI AMEKUDHALILISHA SANA

Anonymous said...

jamani jamani jamani wema ungejua ni jinsi gani natamani uzaliwe upya bila hayo majinamizi uliyopitia basi tu, tulia mamii, we mzuri kwa umbe sura hata moyo wako nahisi ni mzuri weka nia ya kuacha evrythinh is possible jamani.MUNGU AKUSAIDIE.Mi nnahisi hujaamua tu.
dadaako kiumri.

Anonymous said...

Wema jamani wewe mtoto mzuri sana yaani binafsi yangu katika waigizaji wote wasichana wema wewe funika bovu wema mrembo naongea haya kwa moyo wangu wote wema roho inaniuma sana mimi kama mama yako tulia tafuta mtu mzima kama alivyosema mdau hapo juu, wewe si wakina diamond jamani wema mbona hivyo, amakweli kwenye miti hakuna wajenzi

Mama leila

Anonymous said...

Zamaradi kama kweli unampenda Wema m-forwardie maoni ya watu wanaomshauri aachane na vijihuni kama Diamond na aanze kutoka na watu watakaomheshimu na watakaompa mwongozo wa kimaadili na furaha.

Anonymous said...

Wema nikikuangalia natamani kulia ulivyo mzuri, hivi wema unaijua thamani yako kweli, wema roho inaniuma sana hivi huwezi kubadilika kweli, hebu kaa chini ujipange upya hakuna linaloshindikana chini ya jua wema jamani roho inaniuma sana utadhani nimekuzaa mie wema, sali sana mungu akubadilishe uwe mtoto mwema achana na makundi

Anonymous said...

WEMA SASA TULIA USIMPE MWANYA YULE JAMBAZI AKUDHURU. MBONA WANAUME WA HESHIMA NA ADABU WAMEJAA TZ? NA KAMA NI SEX HATA HAO WAUNGWANA WANAWEZA ZAIDI YA YA HUYO MHUNI WAKO.

Anonymous said...

ACHENI UNAFIKI NYINYI BINADAM MUSIO NA AIBU KWANN MUNAINGILIA MAPENZI YA WTU HAO WATU WENYE HESHIMA KABLA YA DAIMOND SI NDIKO ALIKOTOKA AU KWA KWELI AMSHAULI VYEMA ILA MUNAMPOTEZA MWAMBIENI YY ATULIE AJIPANGE NA MWEZIE WAFANYE MAISHA YA UKWELI MUNABAKI KUSEMA AWAENDANI MBNA NYINYI AMUENDANI NA HAO MULIONAO MAPENZI HAYANA RANGI DINI UMRI KABILA WALA KIPATO ACHENI IZO JE NA UYO MWENYE NDOTO ZA KWNDA U S A KUKUTANA NA JUSTIN BIEBER YY ANAENDANA NA J. B? NA WALA HAJUI MASIKINI YA MUNGU KUWA KUONANA NAE MTU KMA UYO UNATAKIWA UBUKU MUDA WA KUMUONA WEMA ENDELEA NA DAIMOND WKO MDAU KTKA MICHIGAN U S A 1903

golety said...

wema yuko bomba sana ila wadau swala zima la mapenzi libaki kwenye maamuzi yake binafsi hamna haja ya kumchagulia, all in all keep it up mamito

Anonymous said...

wema we mkali,hop utatulia na kufanya mambo yamaana na yeyote utae mchagua.....lulu we mshamba sana,una fikili justn BIEBER anajua ka kuna kiummbe ka ww??ahahaha,anatoka na mtoto Selena Gomez,we hausogei pale...endelelea kuota dogo...unafikiri ndo kina Alikiba nini????pole

Anonymous said...

mmmmmmm no comment,but wema punguza ucheche.tulia mama utaukwaa bado mdogo ww.

Mama ze

Anonymous said...

ZAMARADI TAFADHALI FIKISHA HUU UJUMBE KWA DAIMOND: 1. Daimond anatakiwa kufikiria sana juu ya Wema, Wema ni mwanamke wa ukweli siyo uzuri wa nje tu nina imani mpaka maeneo mengine, kiukweli daimond fikiria wapi mlipoanzia, mpaka hapo mlipo,usipende kuwapa watu faida kwa kumkashifu Wema pia huwezi kumlinganisha Wema na Joketi, yaani mkundu na pua vitu viwili tofauti, Joketi anajifanya mwema ila tunajua kuwa anatembea na mapadri. 2. Wema siyo malaya ila wanaume mnamfanya aonekane malaya kiukweli nampenda sana wema tena sana, hebu wewe daimond kama kweli ulimvisha pete kwa moyo wako wote, acha kufuatisha maisha ya wasanii wengine, mrudie Wema tena mtulize ikiwezekana tunga wimbo uimbe nae utukomeshe sisi wambea, kiukweli daimond muogope Mungu kabisa Wema ndiyo mkeo na bila kuficha Wema anakubeba sana kwa uzuri wake hvy please NIKIPEWA NAFASI NIKUCHAGULIE KATI YA J NA W NITACHAGUA WEMA. 3. Ukija kwa upande wa dini mko sawa hata kama ndoa itapata baraka zote, huyu muimbaji mwenzangu mtabanjuana tu never hawezi kubadili, c mtetei Wema labda dini zetu sawa hapana, mi niko sawa na Joketi na tena ni muimbaji pia. HVY DAIMOND PESA ISIKULEVYE KIASI HICHO WEMA ISAACK SEPETU NI MSICHANA WA KIPEKEE ILA ANAHITAJI FARAJA YA KARIBU NA MSIMAMO WA MTU, PIA NINA IMANI MTARUDIANA PIGA MARUFUKU WAANDISHI WA HBR KUMCHORESHA MKEO. Ni mimi kipenzi cha Wema Dobrana, sorry kama kiswahl changu hakijanyooka

Anonymous said...

Me nadata Na sauti yko tu wema hakiamungu nigekuwa me ndo huyo sharoo bwege nisinge subutu hata unung'unike yaaani Big up. Ur hot girl.

Anonymous said...

Wema na Lulu Kanumba
Lulu na Kajala Jela ina wahuu

Dave Humphrey said...

kwani lulu keshatoka jela? na hii pic ya mwaka gani jaman embu nielewesheni

And yes wema do your things right una opportuunity ya kuwa international in a click