tegemea kuwaona katika filamu mpya kabisa itakayotoka hivi karibuni ambapo wameigiza character tofauti kabisa wakiwa mererani kwenye machimbo ukiangalia juu juu hapo unaweza usiwatambue harakaharaka kwa jinsi walivyojiweka na muonekano wao ulivyo hapa akipewa dozi na wamasai wa mererani
Zamd, Das good news bana!! I think itakuwa nzuri sana kwasababu wameonyesha mazingira ambayo watu wengi hatuyajui, kama hasle za Merelani mmmhh!!! Pamoja ZAM!!
5 comments:
Zamd, Das good news bana!! I think itakuwa nzuri sana kwasababu wameonyesha mazingira ambayo watu wengi hatuyajui, kama hasle za Merelani mmmhh!!! Pamoja ZAM!!
Nice post...
itakuwa balaaa hivyo viocho tu vya location nimekubali
yani hemedi kapendeza kuliko anavojiembaga na mapoda cjui yani ananiuziiiiiiiiii, anapendeza akijiweka kiume zaidi hii move naisi itakuwa poa sn
sasa itabidi wakitoka huko wanyoe nywele zote maana duh
Post a Comment