Thursday, October 20, 2011

KWA KUMSIKILIZA LULU AKIONGELEA MWENYEWE KUHUSIANA NA JUSTIN BIEBER.. BONYEZA HAPO CHINI!!!

LULU na JUSTIN BIEBER by nelly@g5click.com

LULU na JUSTIN BIEBER by nelly@g5click.com
Hiyo ni Interview niliyofanya nae kwenye redio ambapo amejielezea mwenyewe kiurefu zaidi kwamba, NI kweli?? na kama kweli ni kimapenzi ama kishabiki?? na pia Bieber akitaka mapenzi klwake itakuwaje??
Kwa majibu yote msikilize LULU hapo juu!!!

6 comments:

Anonymous said...

Zama hujapost hizi clip vizuri.

Anonymous said...

dogo hajielewi kabisa, usijifanye ana kifua cha kumpata JUSTIN BIEBER yeye ni mtu mdogo sana kwake, ana usupastaa wa hapa hapa bongo na c vinginevyo. atulie atengeneze life yake hapa hapa bongo. Una nini dogo cha kumtafutia huyu JUSTIN BIEBER??????????? Analindwa ndugu yangu na ana mpenziwe wa ukweeeeeee, si usijipeleke maake unaweza ukarudi mzoga hapa. bado tunakupenda dogo. Kwa heeeeeri.

Anonymous said...

mcharuko huyo hajui asemacho wala akifanyacho km unatafuta bwana si ande kwa macheni wapo wengi usijiche stail yako ya kujiua we kinda kabila la mama yako ndio maadili yao

Anonymous said...

hivi huyu dogo zimetimia kichwani? au

Anonymous said...

Lulu nadhani unahitaji dume atakayekusugua vizuri mpaka umwombe a-"stop". Hapa Bongo wamejaa wasuguaji wazuri "watakaokutwanga" vizuri mpaka hiyo ndoto yako ya Justin Bieber iyeyuke.

Dave Humphrey said...

hahahahhahahahahahhahhahaa lulu unapatamani bado jela eh?
unadhani justin BIEBER NI KAMA steven umrestishe in peace mie hata mwanangu ckupi ummbebe