Monday, October 10, 2011

KAJALA - MTOTO WANGU NDIO KILA KITU KWANGU


Hii ilikuwa kupitia kipindi cha TAKE ONE ya Clouds TV ambapo Kajala aliweza kufunguka vitu vingi sana kuhusiana na maisha yake ikiwemo mahusiano yake yaliyopita na P.funk jinsi walivyokuwa wakiishi, siku ambayo hataisahau ambapo aliwahi kupelekwa segerea,kitu kilichosababisha na vitu vingi kuhusiana na maisha yake..

Kwa hayo na mengine mengi bonyeza hapo juu (kwenye video yake) ili uweze kumsikia na kumuona mwenyewe akiongelea kuhusiana na maisha yake!!!!

6 comments:

Anonymous said...

wow! hongera kwa kupenda wazazi wako kajala,hakika hiyo ni choice sahihi

Anonymous said...

huyu mdada atafika mbali sana kwasababu yupo soooooooooooooooooo real yani halafu humble kishenzi, kisha ni soooooooooooooooooooooooooooo beautiful, asile asile sana apungue tu

Anonymous said...

Nampenda sana Kajala jamani! hana makuu msichana wa watu, hana skendo yaani nampenda sanaaaaaaaaaaaaaaaa! aendelee vivyohivyo jamani.

sophie!

Anonymous said...

She has got very cool attitude on Camera.

Anonymous said...

Nampenda sana Kajala,kwanza ni mzuri thn hajisikii,thn nimependa alivyoweza kuendelea na maisha yake baada ya misukosuko yote hiyo!napenda sn strong women like her!keep it up Kajala!

Anonymous said...

jamani tujitahidi matumizi ya R na L.unaweza kua mzuri sana lakini ukianza kuchanganya herufi hizo mbili kidogo hata ile beauty yako inashuka.