Tuesday, October 4, 2011

ASANTE SANA SHAMSA for the CAKE!!!

Nimemzoea kwa jina la SHAMSA ingawa wengi wanaomfahamu kwasasa humuita SHAMSA FORD ambalo ndio jina lililomtambulisha kwenye fani,

Ukiangalia nature ya kazi zetu ambapo yeye ni muigizaji wa filamu na mimi ni mtangazaji wa kipindi kinachohusiana na Filamu unaweza ukahisi labda tumekutana kupitia kazi zetu, lakini sivyo ilivyo..

Mimi ni shamsa hatujajuana jana wala juzi, na wala hatukukutania ukubwani ila ni mtu ambae ukiuliza rafiki wa zama ni yupi basi utatajiwa Shamsa, ni rafiki yangu wa muda mrefu SANA ambae tumepitia mengi pamoja, shida, mitihani, raha na mambo yote tunakuwa wote
Ni mmoja kati ya watu muhimu sana kwenye maisha yangu, ni mtu ambae ananifahamu mimi vizuri kuliko chochote kitabia na kilakitu (mbaya na nzuri..lol) na hata mimi pia namfahamu yeye ile yenyewe yenyewe kabisa, so kiufupi tunajuana vizuri na ni marafiki wa muda mrefu sana ambao tumesaidiana sana kwenye raha na shida.
Leo mapema asubuhi hata kabla sijaamka ametoka nyumbani kwake mpaka kwangu lengo likiwa ni moja tu kunisuprise pamoja na KEKI hiyo unayoiona hapo.. Am really happy kiukweli na nathamini sana alichonifanyia, it means alot to ME!!!

Kwa leo sina mengi sana ya kuongea ila zaidi ni kukushukuru kwa kuweza kutambua siku yangu hii muhimu na kufanya kitu cha kuweza kunipa na kuongeza furaha katika siku yangu... Thats what friends are for!!!..


Nakupenda sana... Together Forever!!!

8 comments:

Anonymous said...

wow nice m nataka ck iyo ukininyimaa zama by gatuso

Anonymous said...

happy birthday dada, nasherehekea nawe onlone.

Anonymous said...

friend forever...hepi bday Zama

RUKIA H.M said...

keki nzuri sana, natamani ningekuwepo nile na me jamani shamsa kitambo sijaonana nae, ok happy birthday met wangu

Anonymous said...

Zama hiv ni kweli umemdhulumu Tino master ya NZOWA!!, na Je ni kweli uliburuzwa katika kituo cha Polisi, kujibu shiaka hilo!!

Anonymous said...

Je Shamsa Ford kaolewa? Kama bado mimi niko interested. Muhidini.

Anonymous said...

Nami pia naomba kujua kama Shamsa kaolewa. I'm a her admirer. Rijali.

Anonymous said...

Jamani sio siri zamaradi yani sijui nisemeje.ningekua mwanaume ningesema naomba uwe mke wangu but kwa vile am a girl naomba niwe km ndugu am rahma from mtwara.happy bethdei