Friday, October 7, 2011

JINSI WEMA SEPETU ALIVYOVALISHWA PETE NA DIAMOND..


Kwa wale ambao hawakufanikiwa kufika kwenye tukio, ama waliomiss kipindi cha TAKE ONE ya CLOUDS TV, hivyo ndivyo hali ilivyokuwa ambapo siku ya tarehe 2 october kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Diamond, aliamua kumfanyia suprise mpenzi wake WEMA kwa kumvalisha pete mbele ya hadhara ya watu..
Maneno matupu hayatoshi... Hebu enjoy the video hapo juu!!!

8 comments:

Anonymous said...

ZAMA NYWELE HAZIJAKAA VIZURI HATA KDG IKIWEZEKANA MARA MOJA MOJA BADILI STYL KILA SIKU MALACE????? OKEY UNAYAPENDA ILA WEKA VIZURI

Anonymous said...

MAKE UP KWA UJUMLA HAIKO POA CJUI ULIKUWA NA HARAKA NYWELE NAZO PIA HUKUWA NA MOOD YA KIPINDI NINI

Anonymous said...

Bora waoane ili waache vituko vyao vya kupigana denda hadharani.

Anonymous said...

watulie sasa.

Anonymous said...

Kweli bora watulie sasa. Nawaomba Diamond Nasibu na Wema sasa waanze kuchukulia maisha seriously na wajaribu kuishi kwa maadili mazuri na kuepuka kashfa na ugomvi. Nawatakia kila la heri.

Anonymous said...

tuwape six months,kibongo bongo 2one

Anonymous said...

eti waowane waache kupigan denda hadharani....mdau unaonea nini????? alikwambia mume na mke hwapigani denda hadharani nani?????? ivi mi sielewi kwani tatizo nini?????? lazima uwatizame??mapenzi popote yani sie wabongo sijui tukoje km maadili ya mila na desturi yashakufa cku nyingi. karibu 80% ya mambo yanayofanyika sasa ivi si ya kimila na desturi so kaa kimya a get a life

Anonymous said...

wameshaachana