Tuesday, October 25, 2011

USIKOSE TAKE ONE LEO USIKU on CLOUDS TV


Usikose TAKE ONE siku ya LEO saa TATU KAMILI USIKU on CLOUDS TV na Zamaradi Mketema!!

16 comments:

Anonymous said...

wewe unaweza funga hii blog yako? maana huna jipya huaupdate blog yako sijui ukoje kah! ifunge tu udeal na tv sasa mama.

Anonymous said...

Zama we mzuri na unajijua kuwa ni mzuri.

Anonymous said...

Ijapokuwa mimi ni mdada lazima nikiri navutiwa sana na uzuri wako. Anyway usijali mimi si msagaji. It's just that sometimes I have funny ideas. Big up sis.

Anonymous said...

MashaLlah umetokea vizuri. Ila naomba pia toa picha ambazo zitaonyesha nywele zako natural. Nina hakika utapendeza na natural hairdo.

Anonymous said...

wewe msomali mkimbizi ? umekaa kama mkimbizi, bania hiyo coment eeh maana unatakaga usifiwe tu shuwain!!

Anonymous said...

We anon wa November 9, 2011 3:47 PM. Nina hakika una hitilafu fulani kichwani mwako. Sioni sababu ya wewe kumtukana Zamaradi. Zamaradi ni mzuri sana na vipindi vyake vinafuatiliwa na mamilioni wa wasikilizaji. Wewe anao wa 3:47 PM ndiye swine mkubwa kuliko wote. Kama huna la maana la kuchangia shut your ******* mouth badala ya kuwatukana watu wazuri na wanaopendwa kama Zamaradi wetu. Kama wanavyosema Wahenga "mwenye kutukana hadharani ni sawa na mtu anayeanika chupi yake yenye kinyesi hadharani". Nina hakika dada zako wote ni ugly bugly (lol). Zama, we love you biti Mketema.

Anonymous said...

Wow cutie cute, bado sijakataa tamaa. Ile ndoto ya kukuoa bado iko pale pale. InshaAllah siku moja itatekelezeka.

Anonymous said...

Anon wa 3:47 pm, umemtukana Zama na bado amechapisha utumbo wako. na hakika we anon wa 3:47 ni shwaini mkubwa ambaye usingelichapisha maoni ya kukutukana kama ungelikuwa una blogu yako, lakini nina hakika huna blogu yoyote kwa sababu u r a loser ndiyo maana umeishia kuwatukana watu bila sababu. Upende usipende, maisha yako hutampata msichana mzuri kama Zamaradi.

Anonymous said...

Zama, I hope BF wako anakufikisha. Kwa msichana mzuri kama wewe unastahili kushulikiwa barabara mpaka ujisikie kuwa kweli wewe ni mwanamke mzuri uliye...vizuri. Naomba usinichukulie vibaya. Mimi nakupenda na ninaamini kuwa mimi rijali imara nikiwa na binti mzuri kama wewe nitahakikisha kuwa nakufurahisha ndani na nje ya nyumba. I resect you a lot baby. It's just a compliment and NOT an insult. You are cute and na kila nikipata chance nasikiza vipindi vyako na nina-imagine niko na wewe. Love and respect. Dully Mzenji.

Anonymous said...

Dully Mzenji, unaufahamu ule msemo "if wishes were horses, beggars would ride themselves to death". Hata mimi ninakiri kuwa nikitazama picha za Zamaradi au wakati nasikia sauti yake na-imagine niko naye na ninafanya naye mambo mengi mazuri.

Anonymous said...

Lol... Dully, huko peke yako, hata mimi ningelimpata Zama sijui ningelimfanya nini. Ukweli ni kuwa sijui hata ningelianzia wapi...utosini au miguuni. Usijali Zama, nina hakika wanaume wengi tuko katika kundi la Dully. Raha ya uzuri ni kuutazama na si kuushika...lol...mimi sitaki kuwa kama yule sungura aliyekosa zabibu halafi akajitia 'ohh kwanza hii zabibu ni chungu'...tuseme ukweli, wewe mzuri na natumai siriazly utakuza uzuri wa moyo wako ili uendane na maadili familia na imani/dini yako. Eddy.

Anonymous said...

We Eddy unasema eti ungelimpata zamaradi hujui ungeanzia wapi. Mimi najua ningelianzia wapi kwa sababu kila nikisikia sauti yake na-imagine niko naye na ulimi wangu unavinjari kila kona ya mwili wake kwa haiba na mapenzi makubwa.

Anonymous said...

We mwehu wa 3:47 PM, wakimbizi wamekaaje? Kwani wewe hujui kuwa kuna Watanzania wa kila rangi kabila na dini? Tanzania kuna watu weusi, maji ya kunde, weupe, wabantu, wahamitic (Karatu na Mbulu), wanilotic (wamasai na wajaluo), wanilo-hamitic (watu wa Ngara), machotara (waarabu/wabantu, wahindi/wabantu, wazungu/waafrika) etc etc. Usituletee racism yako ya kipumbafu hapa. Hitler alifeli katika ushenzi wako wa ki-racist, Afrika ya kusini siasa ya kibaguzi zimefeli kabisa na TZ ni moja ya nchi zilizochangia kuutokomeza ubaguzi wa rangi South Africa, Zimbabwe, Namibia, Angola na Msumbiji...sasa iweje wewe ututapikie hapa "falsafa" uchwara yako ya kibaguzi shwaini mkubwa we? Nyerere mwaka 1997 alisema "wabaguzi ni watu waliofilisika kimaadili na kisiasa, na kwa kuwa hawana hoja ya maana ya kuchangia katika kuiendeleza jamii, basi wanatumia ubaguzi ili kujihalalisha". Kaa na ubaguzi wako kenge mkubwa we! Usitake kuitia Tanzania miiba ya sumu unayoyatapika hapasimply because YOU HAVE NOTHING TO OFFER BUT HATRED. Namalizia kwa kukupa ushauri wa bure: Mapenzi huleta furaha, chuki ni mama wa majonzi. Get a life dude!!!!! Zamaradi we love you na tunamwomba Mola Muumba wa yote akulinde. Amin.

Anonymous said...

We kicheche wa 3:47 PM, Inaelekea wewe ni kenge mmoja mwenye stress na frustrations nyingi katika maisha yako...na ndiyo maana unatukana kama mwenda wazimu. Nataka kukuambia kitu kimoja tu: HIZO STRESS NA FRUSTRATIONS ZAKO HAZITAKWISHA KWA KUTUKANA HOVYO. IN FACT ZITAZIDI NA ZITAKUUA MJUSI HATER MKUBWA. Mijitu kama wewe haina mchango wowote wenye manufaa kwa jamii. Mtaishia kutukana lakini ma-stress yenu yatazidi tu. Ungama we mfuasi wa lucifer ili usamehewe kw matusi yako you low life loser!

Anonymous said...

Nami naomba kuungana na wadau waliomjibu huyo hater wa 3.47 pm. Kama wewe unajiona bingwa wa matusi nenda kamtukane mama yako au shangazi wako au dada zako wa 'chee'. Usithubutu tena kumtukana Zamaradi wetu 'coz we love Zama, she is beautiful and has tens of thousands of listeners who are her loyal fans. Kama kweli we dume kamtukane aliyekuzaa na tutajua kuwa wewe ni bab' kubwa.

Anonymous said...

Nashangaa kuna jamaa eti anataka Zamaradi ufunge blogspot hii. Kinachonishangaza ni kuwa yeye kafuata nini hapa? Au amelazimishwa na maswahiba zake atembelee blogspot hii? Mi namwambia kitu kimoja tu. Love this blogspot or LEAVE it!