Friday, October 28, 2011

MOJA YA SCENE ZILIZOWAHI KUNIFURAHISHA ZA FILAMU...


Haimaanishi kwamba hiyo filamu ndio the best film hapana, ila ninachozungumzia ni kipande nilichokipenda ambacho kinapatikana kwenye filamu inayofahamika kwa jina la MTAANI KWETU..
Kizuri lazima kisifiwe na hata pale tunapoenda tofauti lazima tuongee pia lengo ni kusonga mbele zaidi na hakuna chuki binafsi..

Hiko ni kipande kinachomuonesha Richie kama mtu aliepoteza mtoto wake sasa anakwenda polisi kuripoti akiwa na jirani yake kufika huko kuna madhila yanayomkuta pamoja na kwamba amepotelewa mtoto wake...

Nikikiangalia hiki kipande mara nyingine kinanichekesha kutokana na Transformaton ya uso wa Richie ambae mwanzo aliingia na mbwembwe zote polisi huku akionekana mjuaji na mjanja mwingi lakini anapopewa kibano na anapobadilika hata uso wake unabadilika na anaonekana mdogoo tofauti na alivyokuwa mwanzo..

Kikubwa ni uhusika aliouvaa Richie na wote wengine, lakini kwa richie zaidi ni ule uhusika wa uso wake ulivyokuwa na ile transformation ya hatari iliyotokea kwenye uso wake..

Zaidi angalia hapo juu...

7 comments:

Anonymous said...

yani nimecheka jamani lol. zama usiwe unakaa kimya inihali una mambo mazuri km haya yakutupatia hasa sie tuliombali ambao hatuwezi kucheki kipindi chako on tym.
nexty time kwakweli fanyia kipindi mahala pengine hapo barabarani na mihoni ya daladala makelele cjui upepo anyway cjui ni wazo la nani nilikuwa nashauri tu

Anonymous said...

u look different nywele km hazijakaa poa uso sijui umepaka nini vichunusi not zama i knw. japo sikujui sn nakuonaga tu kwa blog niko nje ya bongo

Anonymous said...

bado changa au niaje mbn chunusi??? au ndo imekujia kwa stail iyo??? anyway hongera coz u will see there is nothing good like beibg a mum oooh wat a feeling hata km akiwa Osama still kuna connection na utaumia akiumia

Anonymous said...

funga li blog lako.kwanza linaboa huwezi kupost unashindwa hata na lady jaydee anapost yuko hospital.kila siku samahani samahani.siku tatu nne hadi wiki huweki kitu,close the fuck up

Anonymous said...

Kweli kabisa, funga tu dada yangu endelea tu na take one yako, waachie wenye kazi zao, huwezi,blog lipo stand still utafikiri mabwawa machafu ya dodoma yanayotegemea maji ya mvua. Puuuuu!

Anonymous said...

hii blog naona imeshakushinda mama ifunge tu wala hutachekwa. post mwezi jamani? hata hizo samahani zako hazina maana yeyote. puu!

Anonymous said...

mi nna hasira kila nkiingia humu ndo hivi hivi