Monday, September 5, 2011

HONGERA DJ VENTURE..... VENCHAAAAAAAAAAAA!!!!

Hongera sana Venture kwa kufanikiwa kuivuka hatua hii muhimu sana kwenye maisha!!!! kila la kheri kwenye ndoa yako!!

Wengi walijitokeza kumpa support venture kwenye siku yake hiyo muhimu.. Suka na Zena!!!


Dj Steve B na Sylvia!!

Wana wa Clouds entertainment tulikuwepo kuwakilisha

Dina Marios akiwa na ciara pembeni

Reuben Ndege

Mimi hapo juu... Zamaradi


Ciara...


Arnold Kayanda na Anitha

Reuben Ndege


Mimi na Dozen....


japo giza lakini utatuona tu hata kwa mbali!!!

Adam mchomvu na Aisha!

Kayanda na bibi harusi berna


Penny, zamaradi na Meckysha diva!!

Na Samiratha


men in suit... Kutoka kushoto arnold kayanda, Mwana FA pamoja na B twelve!!!


nikiwa na bibi harusi hapo!!!


nikiwa na Mecky Diva!!!

Venchaaaaaaaa... hongera sana kaka!!! akionesha tabasamu la matumaini na sio la kuforce.. lol!!

mh!! nimetoa machoo.. lol!!

Penny, Zamaradi na Mecky!!!

24 comments:

Anonymous said...

basi kwenye shughuli za watu mjitahidi kujisitiri jamani he! mtu unavaa nguo fupi utafikiri unajiuza bwana acheni hizo. imezidi bwana.

Anonymous said...

Pendeza Zamarady toto langu uko fresh na msafiiiiiiiiiiiiii anutie Rehema

Anonymous said...

zama punguza kucheteka mwanakwetu lol...... na malace wig yatakukoma km umeingia nayo ubia

Anonymous said...

dah mnazivalia njuga kweli za wenzenu zakwenu lini??? haswa wewe na dina.....
badilika zama kuwa natural sasa....
hata hupendezi tena.

Anonymous said...

Mmependeza mwaya! naomba uwe una update kila siku dear tuwe tunapata mambo mapya!

Anonymous said...

VENCHA ASHAPATA HONGERA ZAKE TUPE HABARI NYINGINE BWANA KM KAWAIDA AU MPK ATOKE HONEYMOON NDO UTAWEKA HABARI INGINE????

Anonymous said...

Kweli Penny amechemsha kwa kuyaanika mapaja yake kwenye harusi ya watu. Bw na bibi harusi, Zamaradi na Dina Marios mmependeza.

Anonymous said...

zamaradi mpenzi wangu unaniangusha kwenye picha, huwa unajiandaa sana, inatokea vizuri sikatai,lakini kama utapiga ya kutojiandaa itatoka bomba zaidi, besito

Anonymous said...

zama funga blog best this is really boring maafa yote yaliyotokea wala hayajakustua mmezoea kujishoo tuuuu basi habari za maana hamweki...

Anonymous said...

BLOG LAKO LINABOA, NATAMANI NILISAHAU MAANA KILA NIKICHEKI HAMNA JIPYA, SI MUWAACHIE WENYE KAZI ZAO. puuuuuu!

Anonymous said...

jamani mh huyo demu wa adamu hana kioo kwao?

Anonymous said...

sio lazima wote muwe na blog kama imekushinda achana nayo,so boring

Anonymous said...

WEWE ZAMA,KAMA HUTAKI KUA NA BLOG ITS BETTER IFUNGE COZ INABOA KUWA NA VITU HIVYO HIVYO TANGU SEPT 5 MPAKA SEPT 22 ARE U SERIOUS? NAMPENDA DINA MARIOS COZ KAAMUA NA ANAFANYA SIO KUJARIBU JARIBU AS IF UMELAZIMISHWA,TUNAKUTEMA TUENDELEE NA KINA MICHUZI,DJ CHOKA,DINA MARIOS,KAPITA NA WENGINE

Anonymous said...

FUNGA TU BLOG KAMA HUNA CHA KUWEKA

Anonymous said...

Kiukweli Zamaradi kazi hii ya brog huiwezi mana week ya ngapi sasa habari ndio hizo hizo mana hata aomaharusi walishasahau siku gani walifunga ndoa. Kama huwezi funga tu wachie wenye fani yao waendelee mana huwezi kupewa kila kitu.

Anonymous said...

tunaomba ufunge blog mama please! tumechoka.

Anonymous said...

dah zama hii ni wiki ya tatu mfululizo hakuna jipya..unatuangusha tunaopenda kukutembelea katika hii blog

Anonymous said...

Kwa kwel, punguzeni kuonyesha nyeti zenu kwenye umati wa watu, harusi inainvolve watu wengi, wengine wazee wametoka vijijini, muwe na heshima.

Zama punguza wanja kidogo

Anonymous said...

ili libog linakera adi bs hivi t.z hamna mapya

Anonymous said...

yeah to be honest funga tuu hii blog yako fo coz tulikuwa tunaipenda thus why tunapitia pitia but now days inatuboa mbaya listen kama una ishu nyingi za kufanya si lazima na wewe uwe na blog si kila mtu awe nayo mama.huitendeki haki kabisa baki na take one yako na movie leo hujiulizi yote ya nini kama huyawezi ya watu ama ndo tatizo la wabongo kuiga imeshakuwa fasheni jamani????/????USIONE AIBU WE IFUNGE TU TENA KWA KUTUAGA WADAU ITAKUWA MZUKA NA ITAKUWA USHUJAA PIA.

Anonymous said...

Zama pleeese endelea na blog hii. Ili jitahidi ku-update mara kwa mara, vinginevyo hata washabiki wako tutakukimbia. Kama walivyosema wadau pia jaribu kuonyesha kujali uzalendo na utu kwa kuposti habari kubwa zinazoitikisa TZ na hata nchi jirani. Nafarijika kuona picha yako.

Anonymous said...

Okay Z nakupenda lakini naomba changamka zaidi katika kuleta mapya hapa kama anavyofanya dada yako Dina Marios au Uncle zako Mjengwa na Michuzi. Nadhani ni suala la kujipanga na kuwa na nidhamu ya kutumia muda wako yaani time management. Angalau leta mapya kila masaa 48. Leticia.

Anonymous said...

Penny nawajua watu wa familia yako ambao ni watu wa heshima kwa ivyo kama hujali kuyaanika mapaja yako hadharani walau waheshimu wanafamilia yako. Ndiyo maana sasa kanisa la Anglikana Arusha limepiga marufuku watu kuingia harusini kanisani nusu uchi kwa ajili ya watu kama wewe. Heshima haiuzwi dada.

Anonymous said...

Ijapokuwa si mila yetu kupigana kiss hadharani mimi nimeipenda hiyo picha ya kwanza kabisa. Kwa uzoefu wangu nakubaliana na msemo wa Kiingereza kuwa 'generally a good kisser is a good lover'. Naona Bi Harusi ana bahati. Mwanakombo.