Tuesday, June 14, 2011

I LOOVE THIS SONG.. GRENADE - BRUNO MARS.. hapo chini ni wimbo, STUDIO SESSION pamoja na THE MAKING YA VIDEO (GRENADE)HII (CHINI) NI BEHIND THE SCENE WAKATI WA KUSHOOT VIDEO YA WIMBO HUU.. WATCH IT!!


Hapo juu akielezea maana nzima ya kutumia concept aliyoitumia kwenye video ya Grenade, the use of piano na vitu vingine.. It was Behind the scene!!!


I really love the song kutoka kwa Bruno Mars!!! hiyo hapo juu ni studio session.. ENJOY!!!

1 comment:

Anonymous said...

sio mchezo mtu wangu namzimia sana huyu kaka anasauti nzuri kinoma yaani anajua ile mbaya kuimba..!big up.!!!