Friday, June 3, 2011

UPCOMING MOVIE STAR.. IRENE PAUL!!!!

Anaitwa IRENE PAUL.. one of the Upcoming movie star in Tanzania... Ameshafanya filamu kadhaa mpaka sasa lakini iliyo sokoni kwa sasa ni Handsome wa kijiji ambapo anaonekana atazidi kufanya vizuri huko mbeleni
huyo ni mmoja tu kati ya wasichana wengi wapya ambao wanakuja kwa kasi sana ndani ya film industry hapa Tanzania..
Una lolote!!!????

No comments: