Thursday, June 23, 2011

MATAYARISHO YA FIESTA MWANZA..

Kwasasa tuko MWANZA kwa ajili ya kujipanga na FIESTA msimu wa dhahabu unaoendelea ambapo siku ya JUMAPILI pale CCM kirumba kutakuwa hapatoshi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu mlangoni.. Hapo ni MIMI, BARBARA HASSAN mwenye handbag pamoja na HELLEN..
Hellen, Zamaradi na Barbara Hassan wa Power breakfast ya Clouds FM..

7 comments:

Anonymous said...

Viwigi vingine haviwapendezi jaribu kukiepuka anyway naikubali sana kazi yako zamaradi keep it upp

Anonymous said...

zamarad napenda ulivyo una umbo zur plz usijiachie ukanenenepa

Anonymous said...

Umependeza sana mwenyewe na short hair do.Asante kwa kuzipa mapumziko lace wig maana zimekutumikia sana.

emu-three said...

Kazi nzuri mpendwa!

Anonymous said...

siku yoyte nitakayojaaliwa kuongea na wewe ni lazima nitagusia mapenzi yangu kwako,inshaallah mungu ataileta hiyo siku

Anonymous said...

Zama kama anavyokiuta Dina. Umependeza sana

Anonymous said...

nimeipenda blog yako