Friday, June 17, 2011

PICHA YA LEO... ARNOLD KAYANDA!!!

Anaitwa Arnold Kayanda... mtangazaji wa JAHAZI na Top 20 hapa Clouds FM radio..

9 comments:

Anonymous said...

HAHA HA HAAAAAAAA

Anonymous said...

dah,mshkaj ka ka2pia ki2 cha kike vile,au ndo style? nijuzeni wadau

Anonymous said...

yani huo mkanda ulivyompendeza naomba asiuvue awe analala nao na kuamka nao.teheteheeeeeeeee.

Anonymous said...

Vp na hyo belt Arnold???!!!!

Anonymous said...

nahis hiyo belt yako zamaradi

Anonymous said...

na huo wembamba hyo betl imempendeza nahis kuzidi hata mwenye nayo...hv huwa anakula huyo?maana wembamba huo balaa....

Anonymous said...

MY GOD YOU LOOK AWKWARD. EBU VUA

Anonymous said...

ANORLD KWA VITUKO! NAHISI HAPO ALIKUWA ANAJARIBU MKANDA WAKO

Anonymous said...

mbona hivi mbona full portable mwaa mpenzi hapo tu ujavua nguo ukivua fidodido