Saturday, March 26, 2011

WEEKEND NJEMA JAMANI...

Nawatakia weekend njema wadau na wapenzi wote wa Blog hii..
MUNGU AWABARIKI SANA!!!

14 comments:

SIMON KITURURU said...

Kwako pia! Ubarikiwe!

Mwanaid said...

Asante na wewe pia.
Mungu akubariki pia.

middy said...

Nawe pia mumy,
Thic w'end tunasubiri Tanzania musics awardz specially kwenye red carpet.
Be blcd too.

Anonymous said...

kila siku kututega tu.

Anonymous said...

asante zama napenda kweli unavyojua kuvaa it seems iko damni mwako.. nina swali je nani alikuinspire kua mtangazaji? just curious ukinijibu ntakwambia kwanini nimekuuliza hivi.

Anonymous said...

Zama nakuzimia sana ukisuka ma dear.... Uwe una suka basi..
Umependeza sana.....Shemeji yetu naamin anatunza vyema kifaa chake. Jipende mwaya...

Anonymous said...

WATANZANIA HAVE PROVED YOU WRONG!!!! CANT FEEL ASHAMED OF 20% JINSI ULIVYOMNANGA ETI MCHAFU CJUI HAJUI KUVAA UNATAKA AWE SHAROBARO ALAFU IWEJE?? HAO MASHAROBARO WITH ZERO BRAIN WAKO WAPI NA WAMEPATA NINI KILI MUSIC AWARDS?? THATS THE MAN HIMSELF 20 PER ......... AND NEXT TIME YOU SHOULD LEARND TO CHOOSE YOUR WORDS,, MIMI BINAFSI SIKUPENDA ULIVYOMNANGA COZ I LUV THE MAN NA KAZI ZAKE GENERALLY TO DEATH,,, SASA UKIPOST HII COMMENT POA TU UKIIBANIA NAJUA YOU GT YA MESSAGE DELIVERED BEIBEEEEEEEEEEEEE!!!!

Anonymous said...

Nimeshindwa kufikisha kwako kwa njia nzuri But i have to share with you.
My name is Silvanus Mumba (Coordinator Shirika moja la kimataifa na Executive Produser wa Filam Zote za kundi la Sanaa la Safari Arts Group)
Kunafilamu tumeicheza lakini Bado kutoa Ridhaa ya Kuisambaza Lakini TUme pata Fununu kuwa Kuna watu wanaisambaza kwa njia Danganyifu na kuuza kwa Beindogo sana 1000, pale Ubungo. naomba unisaidie kuadress kwa watu kuwa SI KAZI HALALI NA NIKINYUME CHA SHERIA.
Ipi kwenye silverchriss.blogspot.com

The Swaggalist said...

Daang gal. You are so Gorgeous. U luk stunning in dat pic. Grown n Sexy.

Anonymous said...

Hivi we zama , hata kama ni fashion lakini wenzio huvaa hizo stockings because of too much cold, sasa wewe na joto lote hili unatuvalia stalkings tena kwa office is it "husu" Kama unaamua kuvaa nguo fupi si uvae tu sio lazima uongezee na hivyo visocks mwili au unamabakabaka miiguuni ndo sababu hutaki tuyaone, kupendeza huwa unapendeza sana lkn hiyo mijisocks mwili ni Big NOOOOOOOOOOOOOOOO

Anonymous said...

ukiambiwa kweli unabana comments

Anonymous said...

haya tumeiona weekend imepita huna kipya, basi ukisifiwa kosa itakaa wiki nzima

Zamaradi said...

WATANZANIA HAVE PROVED YOU WRONG!!!! CANT FEEL ASHAMED OF 20% JINSI ULIVYOMNANGA ETI MCHAFU CJUI HAJUI KUVAA UNATAKA AWE SHAROBARO ALAFU IWEJE?? HAO MASHAROBARO WITH ZERO BRAIN WAKO WAPI NA WAMEPATA NINI KILI MUSIC AWARDS?? THATS THE MAN HIMSELF 20 PER ......... AND NEXT TIME YOU SHOULD LEARND TO CHOOSE YOUR WORDS,, MIMI BINAFSI SIKUPENDA ULIVYOMNANGA COZ I LUV THE MAN NA KAZI ZAKE GENERALLY TO DEATH,,, SASA UKIPOST HII COMMENT POA TU UKIIBANIA NAJUA YOU GT YA MESSAGE DELIVERED BEIBEEEEEEEEEEEEE!!!!

NAOMBA NIJIBU HII POST...
nahisi UMEKURUPUKA, aidha HUNIJUI ama Hunifatilii ama UMEJISIKIA TU KUROPOKA... Sihitaji kujitetea kwako kwasababu you are just NOBODY kwangu na hata comment yako ulivyoandika ni kama una chuki binafsi na mimi... but ninachotaka kukiweka wazi ni kwamba hukijui ulichokiandika kwasababu hakuna ukweli wowote katika hilo, mi nadeal na filamu na katika watu walioipromote filamu ya twenty nahisi mimi ni namba moja, na katika kuipromote kwangu sikumbuki kama niliwahi kuongea hiko ulichokiandika hata siku moja kwasababu hakihusiani na chochote kwenye tasnia yangu ama nilichokuwa nafanya in promoting it, na UZURI yeye mwenyewe TWENTY ANALIFAHAMU HILO na ANA-APPRECIATE SANA na mwisho jana kuonana na kuongea nae kwenye party yake...Na hata mwenye filamu anafahamu hilo na anathamini mchango wangu sasa wewe sijui umetokea wapi.. NYIE ndio mnaojikomba kwa mtu kisa kapata kitu, hata kama kuna mtu alieongea hivyo siku zote ulikuwa wapi unasubiria mpaka kapata tuzo..!!?? ETI TANZANIANS PROVED YOU WRONG!!!! unachotakiwa kujua huyo twenty sijaanza kumuongelea baada ya TUZO kwasababu hata nikimuongelea TWENTY simuongelei kimuziki ila namuongelea kifilamu..
Na hata kama kuna mtu ameongea hiko unachokisema ni uhuru wake kuongea, kushinda kwake tuzo tano hakutafanya mengine ambayo mtu anaona yanastahili kuongelewa yasiongelewe.. NATAKA TU UJUE KITU KIMOJA ukiona namsifia twenty basi ujue ni kwasababu anastahili na ukiona ninamponda ama kumchallenge basi ujue simuonei na wala sina chuki binafsi na yeye hivyo basi NITAKAPOTAKIWA KUM-CRITICISE kwa hali yoyote ile hata kama ameshinda tuzo mia haitanizuia mimi kufanya hivyo coz am not here to favor anyone but doing my job..
NIMEMALIZAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

baelezee baelezeee

NEEEXT..!!