Wednesday, March 9, 2011

MARLAW KUMUOA BESTA

Uhusiano ulikuwa wa siri kwa muda mrefu karibu miaka minne sasa na kila walivyokuwa wakiulizwa walijibu hakuna chochote kati yao ni ushkaji tu uliopo.. lakini kumbe chinichini kulikuwa na mipango mizuri iliyokuwa ikiendelea ambayo matunda yake yataonekana JUMAMOSI HII ambapo ndio WATAFUNGA NDOA rasmi na kuwa MUME na MKE ambapo besta atatambulika kama Mrs Marlaw rasmi...
Kwa taarifa tu ni kwamba Kitchen party ya mwanadada tayari imeshafanyika ambapo kwasasa kinachosubiriwa ni harusi tu ili mambo yakamilike...
Nawatakia kila la Kheri kwenye harusi yao na maisha yao kwa ujumla.. MUNGU awaongoze..
HONGERENI SANA!!!

8 comments:

Anonymous said...

Hawa ndio macelebrity, mambo kimya kimya mpaka harusi, safi nawatakia mapenzi mema

Anonymous said...

Hao ndo ma super star sasa so kila siku gazetini.....nimependa the way walivyokeep mambo yao by themselves....jamani wote woko bomba siwapatii picha watoto wao.....nawatakia the verry hapy life in their marriage....
Dee.........

Anonymous said...

Ndo sio lele mama,unatakiwa kujipanga vyilivyo,mpaka walipofikia natumaini wamajipanga,nawatakia kila la kheri na mungu awabariki sana kwani ni jambo jema.

Anonymous said...

Tubadilishie picha kila tukifungua tunaikuta hiyo hiyo.
Tuwekee picha yako natural si picha za kuziedit.
Kuwa kama Dada Dina yuko simple siyo make up nyingi........
Ukibania utajijua
Sms sent

sikudhani khamis said...

congrutualations to u all jamani naomba mkajitahid kuupinga msemo wa mafahali wa wili hawaish sehem moja mungu awabarika sana

Anonymous said...

Kwanza, hongereni bw na bi harusi watarajiwa na Mola wasaidie. Amin. Pili, zamaradi nakupenda lakini naona umeanza ule mchezo wako wa kupotea. najua uko busy lakini jitahidi ku-update blog hii angalau kila siku mbili. Luv u.

sophia mkumbo said...

ki ukweli ni couple nzuri ila besta kama hakupenda vile maana kuna siku nimemsikia kwenye redio anaulizwa kuhusu ndoa yake akakana kabisa ila marlaw alivyo ulizwa akaweka wazi..... bt sio inshu maisha mema kwao

Anonymous said...

congrats