Tuesday, March 22, 2011

BEHIND THE SCENE.. UPIGAJI PICHA WA COVER....

Filamu inaitwa WHY DID I LOVE? na ni filamu ya rose ndauka ambapo wahusika ni hao kama unavyowaona kwenye cover... na huo ni muonekano wa Poster baada ya upigwaji picha kukamilika.
Hii ndio cover ya filamu kama inavyoonekana kwa mbele na nyuma... Hii ni filamu ya rose ndauka na inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu!!!
Wanaume kazini....
Anaitwa Bonitha.. A new face kwenye movie industry!!
Yusuph Mlela akiwa na Bonitha...
Patcho mwamba nae yumo kwenye hii filamu.. hapa akiwa na Jamila!!!
Kijana akiendelea ku-show love!!
Hapa Yusuph mlela akiwa na Winnie!!!
Rose Ndauka akiwa na Jamila.. hapa ni kabla ya kuanza photoshoot.... hii kitu ilifanyika I-view media pale kwa Raqey!!!
Filamu inaitwa WHY DID I LOVE... COMING SOON!!!!

7 comments:

Anonymous said...

LETE MZIGO... NAMUAMINIA SANA DADA HUYU & I LOVE HER SO MUCH.

Anonymous said...

Ms. Sophy

Namopenda sana dada huyu naomba akaze buti na Mungu atamsaidia.

Amen.

Fadhy Mtanga said...

nimeipenda blog yako. Sasa nimefahamu nitakuwa nazuru wapi kupata habari za uhakika.

Kazi nzuri sana dada. Karibu pia jamvini kwangu.

Anonymous said...

big up

Anonymous said...

rose ndauka ana mvuto jamani.na siku hizi anajitahidi sana kuigiza,tofauti na filam yake ya kwanza ali act na richie,kipindi kile kama,alikuwa na aibu aibu

Jeff M said...

Nawapongeza wasanii wa filamu wa Tanzania kwa juhudi zao katika fani hiyo.Jambo pekee linaloniudhi ni tabia waliyonayo ya kuzipa filamu za kitanzania majina yaliyo katika lugha ya kiingereza. Matumaini yangu ni kuwa tunatangaza utamaduni wa Mtanzania hivyo lugha ya Kiswahili inapaswa kutumika zaidi na si vinginevyo. Hiyo lugha ya kiingereza itumike kufafanua tu. Ni vema wasanii wakafanya juhudi kuienzi lugha yetu ya Kiswahili kwa kuitumia ipasavyo katika filamu zao.

Anonymous said...

yusuf mlela amenenepa uso sasa amefanan na wale jamaa wa australia (aborigins) lol.