Pamoja na mengi mengine ambayo yatakuwa kama suprise USIKOSE TAKE ONE LEO SAA TATU KAMILI USIKU kupitia CLOUDS TV!!!!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
21 comments:
Umejinanga na hicho kisuruali hata hujapendeza.......kama vipi vaa jeans tuu usiige ya kina Rihana......
Na picha za kujikunyata kama mgonjwa kama vipi nenda loliondo kwa babu.
Picha ulizopiga na wakina dina kwenye website zako ndiyo wewe original hizi nyingine za kuziedit nishakwambia usituwekee......
Umependeza mwaya...acha waseme tu!!! Kwanza wanakuonea wivu...
ZAMA UNAKUMBUKA NILIKUOMBA UTUWEKEE "TAKE ONE" KWENYE U-TUBE ILI SISI TULIOMBALI NA BONGO TUWEZE PIA KUFAIDI....
Fanya hima my dear, najua tunakosa mambo mazuri!!!!!!!
Hey zama,mbona jana saa tatu kamili ucku nimekodoa macho bila mafanikio,mbona Take One haikwepo???Ans plzzzzzzzzzz...
we nae unawivu tu hapo utakufa nalo ila kwenye hiyo outfit i think ungebeba black purse ingekuwa poa zaidi
Jamani sasa hayo yote yametokea wp mdau hapo juu??!! Anyway Zama mbona jana hakukuwa na kipindi cha take one why??
Zamaradi the beautiful one, Will you marry me pleeeeeeeeeeeeeeease????????????
Sudi.
Zamaradi wewe chuma kweli kweli. Najua una moyo wa mapenzi kwa hivyo natumai utaendelea kukua kitaalamu na kimaadili pia. Ubarikiwe.
Yaani unaboa sana! Kutwa unatangaza kipindi ni jumanne saatatu, tunaacha shughuli zetu, haurushi kipindi saa hiyo halafu mlivyokiuwa unprofessional hata kuomba msamaha na kusema nini kinaendelea hamsemi, mnarusha bongo flavour tu, ndo nini? Unaboa sana!
Wewe mchangiaji wa kwanza kabisa (3:26 PM) wewe ndiye mgonjwa wa akili nenda Mirembe au Loliondo ukatibiwe kichwa. Zamaradi ni mzuri kuliko wewe na dada zako wote. Unamwonea wivu Zamaradi kwa kuwa Zamaradi amejaaliwa uzuri, charm na kipaji cha kazi yake. Sisi tunaompenda Zamaradi tutaendelea kumuomba Muumba wetu amlinde Zamaradi na ampe kila la heri. Amen. Pia tutaendelea kumuomba Muumba wetu awatoe chuki na wivu moyoni mwenu na awape mapenzi na upendo. Mapenzi yanaleta furaha wakati chuki inaleta majonzi. Please copy and paste that bro/sis. Jacqueline.
Zama wewe mzuri. Natumai pia utaendelea kuwa mzuri wa moyo kwani uzuri wa ndani unashinda uzuri wa nje. Wasiokupenda watakutukana usiku watalala (lol).
Kwenye hizi comment kuna watu wapo kwa ajili ya kukosoa na kuchekesha wanzao,kama huyo wa kwanza hapo juu.mmmh yote kheri..
stupid, narusha, narusha, hamna kitu, so unproffessional
Zama mambo??? yani naomba nikupe SHIKAMOO yako hiyo si kwamba u mkubwa zaid yangu ni kutokana nakunikosha na utupiaji wako wa pamba, yaan jamani unanikosha natamani kuvaa kama ww.
Zamaradi. Hilo ni jina lako. Lakini mimi nakuongezea jina lapili : Za Waridi kwa kuwa unanikumbusha ua la waridi linapochanua.
Zamaradi wewe iko toto zuri sana. Kiran Patel.
WW ULIEMNANGA ZAMA UNA WIVU ZAMA NI MZURI NA NI MTU WA W2 ANGALIA UTAPATA NUKSI KTK MAISHA YAKO KWA KUMNANGA HUYU BINTI, WW NDIO UENDE LOLIONDO AMA VIPI UKISHINDWA KWENDA HUKO UJE KWANGU PIA NATOA TIBA, na kama huna cha kuandika ni bora usome tuu na kuacha, ZAMA KAZA BUTI MAMY ACHANA NA HAO WANAOKUKANDIA
Zama, usiwajali wanaokutukana. Huku US watu kama hawa wanaitwa losers kwa sababu they have nothing to offer anyone isipokuwa matusi. Envious/jealous people never win.
mmmmh sijui ata niseme ila unachotakiwa kufanya kwa wa2 kama hao ni ku ignore tu wala si vinginevyo cuz mwenyewe unajijua mzuri so m2 baki asikupe mawazo big up zama
Hao wanaokuponda ni wivu unawasumbua. You look so lovely. Keep it up.
hehehe unajiona mzuri? kwani.......huendi.......
Zam Upo juu, your cute and you look lovely......
Post a Comment