Tuesday, August 9, 2011

UNAIONAJE COVER!!!????.... COMING SOON!!!

Hebu nipe maoni yako kuhusiana na cover hiyo unayoiona hapo juu....
Ni filamu mpya kabisa inaitwa NZOWA ambapo ndani kuna Mzee MASHAKA wa kaole, NATASHA, WASTARA, SAJUKI, TINO, MUHOGO MCHUNGU, DUDE pamoja na wengineo na ni filamu inayozungumzia maisha...

UNAIONAJE COVER!!!???

9 comments:

Anonymous said...

Duhh!! Zama hilo cover halina mvuto hata kidogo...let them think again. Rangi haina mvuto kabisa wa kumfanya mtu anunue, vision poor...

Anonymous said...

Zama mie hapo sijaelewa kabisa kwani ni lazima watu wote uliocheza kwenye hiyo film wawepo kwenye cover?? Ni lazima kuwe na part 1 na 2sijui lakini tunasubiri kuona na vituko vya ndani ya Movie yenyewe.

Anonymous said...

cover ni baya sana sijui tamthilia yenyewe

Anonymous said...

hilo cover halieleweki kabisa sijui vituko vya ndani manake waigizaji wake nawakubali

Bongo film data Base said...

dada mie nina jambo ntakwambie si muda mrefu kuhusu hizi kava wacha niendele kukusanya data kwani no research no right to speak to people...hongera kwa ulilofanya dada angu kutengeza mzigo kama huo uliyo jaa mastar wote hao kwani si mchezo ati kwa shughuli hiyo na story ulivyoielezea iko poa sana ila ni kawaida kwa mtu aliye kwenye industry kukusimulia story yeyote na ikawa poa pia,wacha tuingoje mitaani kwetu tudhibitishe yote haya dada. keep it tity.

Anonymous said...

mi kwa upande wangu nimeona cover ni zuri hope hata hiyo movie ikitoka itafanya poa chuki binafsi tuziweke kando na tuangalie wasanii we2 wanafanya nini na jinsi gani ya kuwasaidia..dats it abbas mlilapi wa kino am out.

Anonymous said...

jamani haikuwa na haja ya kuweka watu wengi hapo nje km mimi nisinge weka hao wote wanajaza kava mwisho haija kaa vema

Anonymous said...

cover baya na halina mvuto kabisa

Anonymous said...

cover zuri as limeendana na movie kwa yeyote aliyeiona atakubaliana na mm. me nimeiangalia hii movie yani ni next level jamani lol! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kazi nzuri ZAMA.