Monday, February 7, 2011

UZINDUZI WA SHOGA KATIKA PICHA..

Mheshimiwa IDDI AZZAN mbunge wa Kinondoni ambae alikuwa mgeni rasmi siku hiyo akikagua jambo
Mapacha watatu nao walikuwa kiburudisho tosha siku hiyo
Mamaa DOTNATA na mumewe Mohammed Poshy nao walikuwepo kushuhudia filamu ya shoga
TINO akiwa na mgeni rasmi Mheshimiwa IDDI AZZAN

3 comments:

Anonymous said...

kati ya watu walio vutiwa na story ya movi ya SHOGA mmi ni mmoja wao so am wainting kuona ndani kuna nni kipya!@zama
By Augustine Wansakya

Anonymous said...

wasanii wa bongo mjifunze namna ya kutokea katika matukio maalumu kama uzinduzi au utoaji wa tuzo hamna nidhamu kama Tinno hapo unaonekana umeshika kopo la redbull kuna haja gani ya kutembea nalo na wewe ni muhusika mkuu wa shughuli? ndio yale yale msanii anitwa kwenda kupokea tuzo kisha simu inaita anapokea akiwa jukwaani

Anonymous said...

Ila Tinno anaonekana kama shoga shoga vileeeee... hata kama c shoga kwa sasa lazima alishawahi kujie-ngage kwenye mambo ya kishoga....